EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Acha tule hizo GDP bakini nazo na njaa zenuHicho chakula kinasaidiaje LDC economy?
Mbona unasema na kutuhumu lakini inaonekana huna hakika nacho?nivyema kama jambo hulijui ni bora ukae kimya ili uwape nafac wanaojua waeleze!Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Naona mna-dream za kufikia uchumi wa kati kama Kenya by 2025! And still you guys are struggling to have enough sugar hahahahahaAcha tule hizo GDP bakini nazo na njaa zenu
Mume wenu kashikwa kwenye kijamb.io, wakenya sio wajinga wakuburuzwa na chizi.
Sasa kama Corona hamna mnaogopa nini madereva kupimwa?!
Maji mtaita mmaa!
Sababu za kitoto ni zipi? Ni zile ambazo ni nyepes sana amabazo hazina maana.Huwezi kupimwa mara kwa mara ni lazima upewe muda ndio maana huku tunapimwa kila baada ya siku 15 kwa mwezi mzima baada ya hapo you're safe.
Alafu hilo neno la sababu ya kitoto hulitumua wazee wa JF na washamba wa JF!
Acha hasira!Toa ujinga wako hapa unafikiri KENYA inaendeshwa na mtu mmoja kama babu yako
Tatizo dogo sana.“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
Unaandika vitu as if umewahi kufanyiwa au Tanzania inafanya.Sababu za kitoto ni zipi? Ni zile ambazo ni nyepes sana amabazo hazina maana.
Huu ugonjwa ni so contagious..so kupimwa mara kwa mara ni muhim. Ungekuwa ukishakupata ukappna hauumwi tena.. hapo kidogo ingekuwa sawa. Lakin kwa sasa that the only way. Unless labda ipatikane mbinu nyingine rahis.
Ugonjwa kupungua kunatokana na bidii na mbinu.Hamna tabu , ila maana ya kupunguza si ndio kuendelea kuishi kwa tahadhari au ? Kuendelea kujifungia wakati kila siku unatangaza wagonjwa wapya nao ni matatizo ndio manaa nimejua labda anasubiri ugonjwa uishe kitu ambacho nimemuambia haiwezekani kirahisi zaidi ya kuendelea kuishi nao.
Mngesema hayo siku ile ....mlisaini wenyewe makubaliano na mapicha juu mkitabasamu ....sasa mnalialia nini .... tunajua shida yenu na dawa ni kukaa kimitego na nyie ...
Kwakipi sasa ulichinacho mpaka nianze kuhangaika na taahira kama wewe!?We kichaa Ila ahadi yako ya kunipoteza imeishia wapi?yaani kila mtu wa Lumumba huwa anajiona komando[emoji1]takupasua muda si mrefu
Nimefanyiwa more than once. Ww umeshawahi kufanyiwa unadai kinauma?Unaandika vitu as if umewahi kufanyiwa au Tanzania inafanya.
Kipimo kinauma kile acha utani nenda ukapimwe ili uujue utamu wake sio unakaa humu kazikubwata tu vitu ambavyo hata huvijui.
Ndio tunaokuongoza! Sasa unasemaje?Takupasua ndege wa Chato wee mnakuja mjini juzi mnajiona mmezaliwa mjini shenzi
We mzungu Koko una mbwembwe kama kigoli mwenye bikra!Bora umejua hayo yalikua mapicha ya kutabasamu kwa wanahabari, ila ukweli tatizo lenu kubwa lilikua kwamba tusiwatangaze na kuwaumbua, ila tupime na kuficha, ndicho tunakifanya, wamegunduliwa wengi na kirusi huku wakiwa na vyeti vyenu vya kariokoo.
Pumbavu sana hatuwezi kucheka tuwakenulie meno mtuambulize balaa lenu hilo, nyie kama mumejichokea mtajua wenyewe, lakini mnapong'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lazima mpimwe.
Kila siku Uganda wanagundua madereva wenu wenye kirusi, kwanza wale wanataja kabisa hawafichi kama sisi.
Mumekua kitovu cha corona kote kote SADC na EAC.
Hahahha... Matahira mtaendelea kupiga kelele hapo ufipa..Malizeni muda wenu mtupishe turudi zetu MZIZIMA hatuwezi kaa vichakani uko Chato n Dom
Hahaha! Acha fujo MkuuKumbe uko na akili hivo lakini sijui ulikua unaandika nini huko juu, mtazamo ulioandika kwenye thread yako ndio Hali halisi sasa .
Hawa wanaoimba mapambio humu JF siamini kwamba wanafanya hivyo kwa kuamini kwamba Tanzania ipo sawa katika swali hili na mengi mengine yanayofanywa na kiongozi huyu.Wanaleta ujinga wa mtu mmoja eti kila mtu aamini
Amwambie nani sasa? Kwanini usiende kumtoa kwa nguvu.Mwambie bush man wenu muda umetaradadi wa kurejea kijijini
Huoni wewe kama ndio zezeta?Toa uzezeta hapa sisi tunasubili atupishe tuirejeshe nchi kwa watoto wa mjini