Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Mbona unasema na kutuhumu lakini inaonekana huna hakika nacho?nivyema kama jambo hulijui ni bora ukae kimya ili uwape nafac wanaojua waeleze!
 
Huwezi kupimwa mara kwa mara ni lazima upewe muda ndio maana huku tunapimwa kila baada ya siku 15 kwa mwezi mzima baada ya hapo you're safe.

Alafu hilo neno la sababu ya kitoto hulitumua wazee wa JF na washamba wa JF!
Sababu za kitoto ni zipi? Ni zile ambazo ni nyepes sana amabazo hazina maana.
Huu ugonjwa ni so contagious..so kupimwa mara kwa mara ni muhim. Ungekuwa ukishakupata ukappna hauumwi tena.. hapo kidogo ingekuwa sawa. Lakin kwa sasa that the only way. Unless labda ipatikane mbinu nyingine rahis.
 
“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
Tatizo dogo sana.

Ondoa siasa, acha sayansi ifanye kazi.

Vipimo vya coronavirus vinajulikana na vinatumika sehemu zote duniani.

Vipimo vya Tanzania haviwezi kuwa tofauti na vya Kenya vikatoa matokeo tofauti.

Mnatafuta migogoro kwa misimamo ya kisiasa na kiburi mahali pasipostahiri kuwepo na tatizo lolote.

Hata bila kujihangaisha kutafuta tofauti inatokea wapi; tazama tu nchi moja inadai COVID-19 imekwisha, na wakati huo huo nchi nyingine inapima na kuona wagonjwa wanaongezeka!
Kwa nini hapo pasiwepo na tofauti hata bila ya kutafuta kulaumu!
 
Sababu za kitoto ni zipi? Ni zile ambazo ni nyepes sana amabazo hazina maana.
Huu ugonjwa ni so contagious..so kupimwa mara kwa mara ni muhim. Ungekuwa ukishakupata ukappna hauumwi tena.. hapo kidogo ingekuwa sawa. Lakin kwa sasa that the only way. Unless labda ipatikane mbinu nyingine rahis.
Unaandika vitu as if umewahi kufanyiwa au Tanzania inafanya.
Kipimo kinauma kile acha utani nenda ukapimwe ili uujue utamu wake sio unakaa humu kazikubwata tu vitu ambavyo hata huvijui.
 
Hamna tabu , ila maana ya kupunguza si ndio kuendelea kuishi kwa tahadhari au ? Kuendelea kujifungia wakati kila siku unatangaza wagonjwa wapya nao ni matatizo ndio manaa nimejua labda anasubiri ugonjwa uishe kitu ambacho nimemuambia haiwezekani kirahisi zaidi ya kuendelea kuishi nao.
Ugonjwa kupungua kunatokana na bidii na mbinu.
Kujikinga halaf undelee kuish vile vile ..ni sawa na kunya halafu utegemee kinyesi hakitonuka.
Mbinu za kujikinga pamoja na mbinu za kupunguza maambukizi.. nahapa naongelea national efforts. Sio individual efforts.
Kujifungia hawajajifungia.. wako on curfew. Wenye kazi wanaenda kazini.
 
Mngesema hayo siku ile ....mlisaini wenyewe makubaliano na mapicha juu mkitabasamu ....sasa mnalialia nini .... tunajua shida yenu na dawa ni kukaa kimitego na nyie ...

Bora umejua hayo yalikua mapicha ya kutabasamu kwa wanahabari, ila ukweli tatizo lenu kubwa lilikua kwamba tusiwatangaze na kuwaumbua, ila tupime na kuficha, ndicho tunakifanya, wamegunduliwa wengi na kirusi huku wakiwa na vyeti vyenu vya kariokoo.
Pumbavu sana hatuwezi kucheka tuwakenulie meno mtuambulize balaa lenu hilo, nyie kama mumejichokea mtajua wenyewe, lakini mnapong'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lazima mpimwe.
Kila siku Uganda wanagundua madereva wenu wenye kirusi, kwanza wale wanataja kabisa hawafichi kama sisi.
Mumekua kitovu cha corona kote kote SADC na EAC.
 
We kichaa Ila ahadi yako ya kunipoteza imeishia wapi?yaani kila mtu wa Lumumba huwa anajiona komando[emoji1]takupasua muda si mrefu
Kwakipi sasa ulichinacho mpaka nianze kuhangaika na taahira kama wewe!?
 
Unaandika vitu as if umewahi kufanyiwa au Tanzania inafanya.
Kipimo kinauma kile acha utani nenda ukapimwe ili uujue utamu wake sio unakaa humu kazikubwata tu vitu ambavyo hata huvijui.
Nimefanyiwa more than once. Ww umeshawahi kufanyiwa unadai kinauma?
Au unasikia stories tu.
Kama kisingizio ni kipimo kuuma? Well mna mbinu zingine za kupima ambazo zimedhibitishwa kitaalam ni effective na zinatoa majib sahihi?
 
Bora umejua hayo yalikua mapicha ya kutabasamu kwa wanahabari, ila ukweli tatizo lenu kubwa lilikua kwamba tusiwatangaze na kuwaumbua, ila tupime na kuficha, ndicho tunakifanya, wamegunduliwa wengi na kirusi huku wakiwa na vyeti vyenu vya kariokoo.
Pumbavu sana hatuwezi kucheka tuwakenulie meno mtuambulize balaa lenu hilo, nyie kama mumejichokea mtajua wenyewe, lakini mnapong'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lazima mpimwe.
Kila siku Uganda wanagundua madereva wenu wenye kirusi, kwanza wale wanataja kabisa hawafichi kama sisi.
Mumekua kitovu cha corona kote kote SADC na EAC.
We mzungu Koko una mbwembwe kama kigoli mwenye bikra!

Hapo Kunya-land corona ni dili la genge la walevi wa ikulu. Wanavuna pesa za corona huku majuha mnaminywa na polisi kwenye curfew uchwara.

Mchana ruksa kuambukizana, lakini usiku ni mwiko. Sayansi za walevi hizi. Heheee
 
Malizeni muda wenu mtupishe turudi zetu MZIZIMA hatuwezi kaa vichakani uko Chato n Dom
Hahahha... Matahira mtaendelea kupiga kelele hapo ufipa..

Wajanja ndio tumeshika mpini nyie makali, mkifurukuta tutawamwaga ubongo!
Ikulu mtaisikia au kuisoma kupitia gazeti la Tanzania Daima.
 
Katika kushughulukia hili, hekima ni muhimu sana kutumika. Kwanza Kenya baada ya kuona au kuhisi hatari yoyote ile, ilibidi iwasiliane na upande mwingine na kuona ni namna gani bora ya kutatua hilo. Kitendo cha kuanza kufanya kitu kinyume na makubaliano si sahihi. Siku zote mazungumzo ndiyo hujenga. Tanzania hatuingilii utaratibu wa ndani wa nchi nyingine wa kupima watu, licha ya kuwa namna ya kuripoti hizo taarifa siyo sahihi pia, lakini kutoa taarifa kwa upande mwingine ni muhimu.
 
Wanaleta ujinga wa mtu mmoja eti kila mtu aamini
Hawa wanaoimba mapambio humu JF siamini kwamba wanafanya hivyo kwa kuamini kwamba Tanzania ipo sawa katika swali hili na mengi mengine yanayofanywa na kiongozi huyu.

Inawalazimu kufanya hivyo kwa maslahi tu binafsi.
 
Toa uzezeta hapa sisi tunasubili atupishe tuirejeshe nchi kwa watoto wa mjini
Huoni wewe kama ndio zezeta?
Mimi nilifikiri kama mtu kavamia nyumba yako utamtoa kwa nguvu, lakini kama unasema unasubiri akupishe huo ni umama na ni kelele za chura tu hizo.
Sasa sikui utanuna mpaka
 
Back
Top Bottom