Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
unapajua kariakoo au unapasikia tu? tuheshimiane sisi sio watu wa kufojiNenda kasome makubaliano yalivyokua, tulikubaliana kutakua na kitu kinaitwa random checks hata kama una cheti utakua unaibukiwa na kupimwa mara moja moja, hiki kipengee kipo kwenye makubaliano, kayasome...Sasa ikiwa hizi random checks kila zikifanywa wanakutwa na corona, lazima tutilie shaka hayo makaratasi yenu mumefoji kariokoo.
Duuh . . unamwita kivuruge ? halafu hiyo takwimu ya watu elfu mbili umeiiba wapi?Huyu Kivuruge wetu ndiyo mwenye makosa. Kila anapogusa lazima avuruge. Amezoea kutumia mabavu ndiyo maana hata mikutano anakwepa kwa sababu kwake vitisho na nguvu ndiyo kuendesha nchi. Tanzania ina watu wengi sana wenye maambukizo ya virus wa korona na wamefariki watu wengi mno kulinganisha na Kenya . Kenya hata watu mia moja waliofariki hawajafikisha lakini sisi tunakaribia elfu mbili. Huu unyama wa kijinga ndiyo Kivuruge anataka kuwapelekea Kenya. Ana bahati sana Kenyata naye ni mtu msataarabu sana la sivyo uhusiano ungekuwa umeshakuwa mbaya sana.
Tumekuwa kero ? Kwanza unaijua SADC vizuri?Kwa kweli mumekua kero dhidi ya majirani zenu wote EAC na SADC, hamtaki mpimwe na bado mnataka mng'ang'anie kuingia kwenye mataifa ya watu. Mnaogopa kupimwa kwanini, tumeshawaahidi hatutawaumbua, tunapokeza waathirika wenu kimya kimya ili kutunza siri yenu, na bado mnalialia.
Pumbavu ,umewavuruigia wakulima soko la uhakika. Buku saba zinakulinda mkulima Tanzania akale wapi?na wewe una nini ? kwanza chakula mnatoa kwetu, hamna lolote. MMEMWAGA MBOGA NA SISI TUNAKANYAGA UGALI
.unapajua kariakoo au unapasikia tu? tuheshimiane sisi sio watu wa kufoji
.Ndio ujanja wa Uhuru huu? View attachment 1468596
Mkuu thread na post zangu unatakiwa kuwa makini unaposizoma na ushabiki wa kisiasa uweke kando kabisa, kwa kuwa mimi siandiki kwa kuwa na ushabiki wa kisiasaKumbe uko na akili hivo lakini sijui ulikua unaandika nini huko juu, mtazamo ulioandika kwenye thread yako ndio Hali halisi sasa .
unapajua kariakoo au unapasikia tu? tuheshimiane sisi sio watu wa kufoji
Majamaa yanaugua njaa hadi yameamua kuitungia katiba kabisa.Hao jamaa ni wajinga sana!
Wanakimbizana kutoa takwimu sijui ili wamfikie USA?
Wanaumia sana kuona tz maisha yanaemdelea huku wao wamejifungia ndani kama mwali
Tumekuwa kero ? Kwanza unaijua SADC vizuri?
Unaujua umuhimu wa Tanzania ndani ya SADC?
Muulize hata Ramaphosa atakuambia Tanzania ni nani ndani ya SADC. Tukifunga mipaka yetu nakuhakikishia kuna nchi kama sita zitalala njaa. Nakupa taarifa tu kama hujui
.Umuhimu gani zaidi ya kuwa kitovu cha uchafu, leo nyie ndio mnasambaza corona na ugaidi huko SADC, hebu ona mnavyowatesa Msumbiji...Hakuna jirani yenu mnayemuacha salama bila usumbufu, mnang'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lakini hamtaki mfuate taratibu zao.
Hivi kwa muingiliano uliopo Tanzania Corona inaishaje, hiyo ni sayansi ya wapi.Wako sahihi kitu gani, sisi ndo tungetakiwa kuwaogopa maana maabukizi kwao ni mengi na vifo vinaongezeka,
Sasa wao wanatuogipa nini wakati sisi tunaanza kusahau huo ugonjwa?
Wao mdo watazidi kutuambukiza maana wengi wanaingia bila kupimwa vipimo vikubwa.
Sasa mbona hatupati daily updates za vipimoJamani Maabara mpya yenye uwezo ilishafunguliwa kule Mabibo na bora zaidi kuliko ile iliyokuwa NIMRI.Hope inaleta sense.
Huo moto mmeuzima kwa kutotangaza data za maambukizi au.Kuna watu wanashabikia eti wakiona barozi wa mareknaini ansema Tanzani kuna hali mbaya eti raia wao warudi kwao, sas unajiuliza huko kwao ndo corona imetia nanga ni sawa nyumba yako inaungua kisha unawaita watoto watoke kwa jirani ambae amezima huo moto.kwake waje kwenye nyumba inayoungua na inaonekana kuteketea sasa sijui hiyo ni akiri ya tope?
Maandamano ya marekani hayajaletwa na serikali, get your facts right.Unaongea ujinga kweli, Tatizo Mnajikuta mnaakili sana kumbe manyang'au tu.Kama kweli mnajali uhai kuliko pesa muendelee kujifungia hadi angalau mwishoni mwa mwaka huu muone kazi tuwape tuzo za kuthamini uhai. Haujifunzi tu hata kwa marekani maandamano yao huko na ufaransa? Labda kama muko na ajenda nyingine mbali na Corona ila kama ni corona ni wivu tu utakua unawasumbua.
Hivi kwa muingiliano uliopo Tanzania Corona inaishaje, hiyo ni sayansi ya wapi.
Ugonjwa unaambukiza na sisi hatujachukua measures zozote kuzuia maambukizi, ugonjwa unaishaje hapo.
Mbona tunataka kuwa kama akina Kinjekitile.
Huo moto mmeuzima kwa kutotangaza data za maambukizi au.
Wakenya wapo makini kuliko sisi kwenye almost kila sekta. Hilo halina ubishi.Nimeupenda sana huu msimamo,hawa wakenya ni majirani zetu ,ni marafiki zetu lakini hatutakiwi kuwaamini sana,wanataka kujifanya wao wako makini sana kutuzidi sisi,ninakubaliana kuwa there is a hiden agenda....
Wewe ndio utapiga kura kwa niaba ya wakenya wote.Ni Siasa. Next Election Laila Odinga lazima atachukua nchi!
Unajuaje kuwa Uhuru ndio alipiga simu, ulikuwepo.Kama una akiri jiulize, walizuia magari nasi tukazuia kama wao, kila mtu ana haki.ya.kujilinda na nchi yake,
Sasa Uhuru alipiga simu ya kumaliza tatizo ili iweje?
Kama anaona Tanzania kuna corona alipiga simu ya nini, atangaze tu kuwa hakuna kuruhusu m tz kuingia basi nasi tutafanya hivyo na maisha yataendelea.
Hawa wakenya wana dharau sana.