Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Nenda kasome makubaliano yalivyokua, tulikubaliana kutakua na kitu kinaitwa random checks hata kama una cheti utakua unaibukiwa na kupimwa mara moja moja, hiki kipengee kipo kwenye makubaliano, kayasome...Sasa ikiwa hizi random checks kila zikifanywa wanakutwa na corona, lazima tutilie shaka hayo makaratasi yenu mumefoji kariokoo.
unapajua kariakoo au unapasikia tu? tuheshimiane sisi sio watu wa kufoji
 
Huyu Kivuruge wetu ndiyo mwenye makosa. Kila anapogusa lazima avuruge. Amezoea kutumia mabavu ndiyo maana hata mikutano anakwepa kwa sababu kwake vitisho na nguvu ndiyo kuendesha nchi. Tanzania ina watu wengi sana wenye maambukizo ya virus wa korona na wamefariki watu wengi mno kulinganisha na Kenya . Kenya hata watu mia moja waliofariki hawajafikisha lakini sisi tunakaribia elfu mbili. Huu unyama wa kijinga ndiyo Kivuruge anataka kuwapelekea Kenya. Ana bahati sana Kenyata naye ni mtu msataarabu sana la sivyo uhusiano ungekuwa umeshakuwa mbaya sana.
Duuh . . unamwita kivuruge ? halafu hiyo takwimu ya watu elfu mbili umeiiba wapi?
 
Kwa kweli mumekua kero dhidi ya majirani zenu wote EAC na SADC, hamtaki mpimwe na bado mnataka mng'ang'anie kuingia kwenye mataifa ya watu. Mnaogopa kupimwa kwanini, tumeshawaahidi hatutawaumbua, tunapokeza waathirika wenu kimya kimya ili kutunza siri yenu, na bado mnalialia.
Tumekuwa kero ? Kwanza unaijua SADC vizuri?
Unaujua umuhimu wa Tanzania ndani ya SADC?
Muulize hata Ramaphosa atakuambia Tanzania ni nani ndani ya SADC. Tukifunga mipaka yetu nakuhakikishia kuna nchi kama sita zitalala njaa. Nakupa taarifa tu kama hujui
 
unapajua kariakoo au unapasikia tu? tuheshimiane sisi sio watu wa kufoji
.
IMG_20200604_161520_879.JPG
 
Kumbe uko na akili hivo lakini sijui ulikua unaandika nini huko juu, mtazamo ulioandika kwenye thread yako ndio Hali halisi sasa .
Mkuu thread na post zangu unatakiwa kuwa makini unaposizoma na ushabiki wa kisiasa uweke kando kabisa, kwa kuwa mimi siandiki kwa kuwa na ushabiki wa kisiasa
 
Hao jamaa ni wajinga sana!

Wanakimbizana kutoa takwimu sijui ili wamfikie USA?

Wanaumia sana kuona tz maisha yanaemdelea huku wao wamejifungia ndani kama mwali
Majamaa yanaugua njaa hadi yameamua kuitungia katiba kabisa.
IMG_20200604_161454_723.JPG
 
Tumekuwa kero ? Kwanza unaijua SADC vizuri?
Unaujua umuhimu wa Tanzania ndani ya SADC?
Muulize hata Ramaphosa atakuambia Tanzania ni nani ndani ya SADC. Tukifunga mipaka yetu nakuhakikishia kuna nchi kama sita zitalala njaa. Nakupa taarifa tu kama hujui

Umuhimu gani zaidi ya kuwa kitovu cha uchafu, leo nyie ndio mnasambaza corona na ugaidi huko SADC, hebu ona mnavyowatesa Msumbiji...Hakuna jirani yenu mnayemuacha salama bila usumbufu, mnang'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lakini hamtaki mfuate taratibu zao.

2417088_Screenshot_20200603-161430.png
 
IMG_20200604_161650_963.JPG
 
Wako sahihi kitu gani, sisi ndo tungetakiwa kuwaogopa maana maabukizi kwao ni mengi na vifo vinaongezeka,
Sasa wao wanatuogipa nini wakati sisi tunaanza kusahau huo ugonjwa?
Wao mdo watazidi kutuambukiza maana wengi wanaingia bila kupimwa vipimo vikubwa.
Hivi kwa muingiliano uliopo Tanzania Corona inaishaje, hiyo ni sayansi ya wapi.

Ugonjwa unaambukiza na sisi hatujachukua measures zozote kuzuia maambukizi, ugonjwa unaishaje hapo.

Mbona tunataka kuwa kama akina Kinjekitile.
 
Kuna watu wanashabikia eti wakiona barozi wa mareknaini ansema Tanzani kuna hali mbaya eti raia wao warudi kwao, sas unajiuliza huko kwao ndo corona imetia nanga ni sawa nyumba yako inaungua kisha unawaita watoto watoke kwa jirani ambae amezima huo moto.kwake waje kwenye nyumba inayoungua na inaonekana kuteketea sasa sijui hiyo ni akiri ya tope?
Huo moto mmeuzima kwa kutotangaza data za maambukizi au.
 
Unaongea ujinga kweli, Tatizo Mnajikuta mnaakili sana kumbe manyang'au tu.Kama kweli mnajali uhai kuliko pesa muendelee kujifungia hadi angalau mwishoni mwa mwaka huu muone kazi tuwape tuzo za kuthamini uhai. Haujifunzi tu hata kwa marekani maandamano yao huko na ufaransa? Labda kama muko na ajenda nyingine mbali na Corona ila kama ni corona ni wivu tu utakua unawasumbua.
Maandamano ya marekani hayajaletwa na serikali, get your facts right.
 
Hivi kwa muingiliano uliopo Tanzania Corona inaishaje, hiyo ni sayansi ya wapi.

Ugonjwa unaambukiza na sisi hatujachukua measures zozote kuzuia maambukizi, ugonjwa unaishaje hapo.

Mbona tunataka kuwa kama akina Kinjekitile.

Measures gani unataka tuafanye?, kwani hujashauriwa kuvaa barakoa, kuweka distance, kunawa mikono, kubaki nyimbani kama huna kazi ya kukuzungusha, sasa zaidi ya hapo unataka nini?
Ukimwi upo unaenda gesti hutumii kondom, ukiathilika unalaum serikari?

Najua utasema hatupimi, nambie ni wapi walipopima watu kisha ugonjwa ukaisha?
Au ukipima hutaambukizwa?
Je tukipima sana tunapata dawa yake au tunapata zawadi?
Je watu milioni 60 wanaweza kupimwa kwa siku moja ili tujue wagonjwa kisha watengwe?

Je kuna watu wengi kwenye mahospitali wanaoumwa corona?
Hizo measures unazotaka serikali ifanye ni zipi, kama unazo weka hapa ili serikari izifanyie kazi kama ni bora zaidi.
 
Huo moto mmeuzima kwa kutotangaza data za maambukizi au.

Hizo data ukizipewa unapata pesa ya kula kwa siku au?
Chukua tahadhali ugonjwa bado upo, kma huwezi subili siku ukiugua utaeleza aliyekwambia usichukue tahadhali
 
Nimeupenda sana huu msimamo,hawa wakenya ni majirani zetu ,ni marafiki zetu lakini hatutakiwi kuwaamini sana,wanataka kujifanya wao wako makini sana kutuzidi sisi,ninakubaliana kuwa there is a hiden agenda....
Wakenya wapo makini kuliko sisi kwenye almost kila sekta. Hilo halina ubishi.
 
Kama una akiri jiulize, walizuia magari nasi tukazuia kama wao, kila mtu ana haki.ya.kujilinda na nchi yake,
Sasa Uhuru alipiga simu ya kumaliza tatizo ili iweje?
Kama anaona Tanzania kuna corona alipiga simu ya nini, atangaze tu kuwa hakuna kuruhusu m tz kuingia basi nasi tutafanya hivyo na maisha yataendelea.
Hawa wakenya wana dharau sana.
Unajuaje kuwa Uhuru ndio alipiga simu, ulikuwepo.
 
Back
Top Bottom