johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
"Rais kun'gamua tatizo" unaamini hayo maneno yako?!Majibu potofu yanaeleza kisababishwa na vitu vingi ikiwemo aina ya vipimo, reagents, procedures nk. Baada ya Rais kung'amua tatizo aliunda tume na majibu yamewekwa adharani. Ninavyojua tumebadili aina ya vipimo.
Hata hivyo kwa hiyo kwa akili yako Kama tumekubaliana na Kenya kupima madereva, tusipime? Ongea vitu vyenye mantiki! Elezea mbadala ni nini, badala ya kupiga poyoyo.
Uamuzi ni wenu wakuu maana sisi korona tunaishi nayo kibingwa, inatuogopa kinomaTuamue kati ya kupukutika kwa corona au kuwa na ujirani mwema.....
Wewee vipimo ni vilevile tu sote tumeimport hakuna aliyetengeneza kwao!! Hayo ya kupima joto yamebaki kwenye shopping centers tu! Madereva wetu wanachukuliwa sampuli wanapimwa kwan uchunguzi ushakamilika na vipimo vinaendelea!!Hawana haja maana wao walikuwa wanapita na vyeti halali ila nyie mnapita na vyeti vinavyosoma joto la mwili. Kwani mumeambiwa kuwa joto linaunguza nchi?
Uamuzi ni wenu wakuu maana sisi korona tunaishi nayo kibingwa, inatuogopa kinoma
Kumbe vipimo ni vile vile, sasa kwanini vya kwao vizima vyetu vilikuwa vibovu?!Wewee vipimo ni vilevile tu sote tumeimport hakuna aliyetengeneza kwao!! Hayo ya kupima joto yamebaki kwenye shopping centers tu! Madereva wetu wanachukuliwa sampuli wanapimwa kwan uchunguzi ushakamilika na vipimo vinaendelea!!
Haya na wawageukie Ethiopia sasa!!
Hamkujifunza kujifukiza?? kibongobongo tunaita NYUNGU, Kikwenu sijui mnaita "steaming??" inasaidiaga ujue?Sisi hakituogopi, namba zinapandisha na tunapukutika, hivyo lazima tuwe na hasira kwa yeyote anayeleta masikhara....
Sweden waliojifanya kukaidi, kirusi kilienea ndani mwao kimya kimya halafu ghafla kimenyanyua kichwa wanapukutika yaani wamepoteana...
Sasa usilinganisha Sweden na Tanzania bana,,Sisi hakituogopi, namba zinapandisha na tunapukutika, hivyo lazima tuwe na hasira kwa yeyote anayeleta masikhara....
Sweden waliojifanya kukaidi, kirusi kilienea ndani mwao kimya kimya halafu ghafla kimenyanyua kichwa wanapukutika yaani wamepoteana...
Vipimo vya Kenya na Uganda vimetofautiana mara ngapi?Kumbe vipimo ni vile vile, sasa kwanini vya kwao vizima vyetu vilikuwa vibovu?!
Mtaleta uongo wenu wa mabeberu hawatupendi.
Acheni ulaghai wa vita vya kusadikika hakuna mtu amesema anakomesha ugonjwa bali kupunguza maambukizi zaidi...for sure sis hatuko sereous kupunguza maambukiz tunawaza uchumi ambao pia ni mbovu kutokana na sera mbovu.Kila jambo jiwe akishindwa anasingizia vita vya kusadikika kwa tabia yake ya kutojali utu na ubinadam zaidi ya2 sifa zake binafsi na mipango yake isyo na vipaumbele.Mtu msomi anaendesha mambo kwa pupa....maendeleo ni process bila kuamini hvi utachanganyikiwa hata katika maisha binafsi.Dhana hii usipoielewa unaweza kuwa jambaz au mchawi so far ukiwa kiongozi utaanza kutesa raia wako kwa makodi makubwa na kuwanyima haki za msingi.Mwl Nyerere alilieleza vzr kwenye kitabu chake cha tujisahihishe kwamba siwez kutesa wananchi wangu kwa kisingizio cha maendeleo.U serious unakuja wapi mkuu,ushaambiwa corona haishi leo wala kesho tutaishi nayo,hii corona ni vita ya kiuchumi,tusipokaa sawa mataifa mengi yatadondoka kiuchumi,Mkuu unaijua TB?
Hizi bangi zako za kolomije ni hatar kwa afya ya ubongo wakoUkweli ni kwamba hakuna taifa linamudu kuthibiti covid19, tutaishi nayo na kuimudu kwa kinga za mwili. Wachache wetu dhaifu tuwakinge pekee. Tuendelee kupumuliana kubadilishana virus na bacteria useful kuboresha kinga.Kwa hili nampongeza sana JPM kutupa moyo.
Ukiacha hayo mengine ambayo naona Kama out of focus na yana majibu mazuri na justification,"Rais kun'gamua tatizo" unaamini hayo maneno yako?!
Halafu kwanini wakawa kimya wasitoe majibu ya vipimo baada ya muda wa uchunguzi kukamilika?
Kwanini Rais akampa madaraka Mwigulu baada ya kusema bungeni serikali iache kutoa update za maambukizi ya Corona?
Halafu baada ya hapo serikali ikaacha kutoa takwimu.
At the middle of all that; bado unaamini vipimo vilikuwa na tatizo mpaka "Rais alipon'gamua"? Huoni kama palikuwa na ajenda ya siri kuwaaminisha watz majibu ya vipimo ni ya uongo ili kuficha ukweli wa taarifa za maambukizi!.
Kama mlikubaliana na Kenya kwanini wao waka divert? huoni kama wana mawazo mengine, kwakifupi hawatuamini na vipimo vyetu.
Hata sisi hatuaminiani, hatukuwa na nia ya kutaka watanzania wajue ukweli kuhusu hali ya ugonjwa ndio maana wakasingizia vipimo vibovu.
Nashangaa watu bado wanashupalia issue ya corona! Eti Tz bado ni tishio! Kisa wamcriminalise JPM!Ukweli ni kwamba hakuna taifa linamudu kuthibiti covid19, tutaishi nayo na kuimudu kwa kinga za mwili. Wachache wetu dhaifu tuwakinge pekee. Tuendelee kupumuliana kubadilishana virus na bacteria useful kuboresha kinga.Kwa hili nampongeza sana JPM kutupa moyo.
Unaelewa kuwa serekali ambayo imetangaza kuwa Corona imeisha na ikafanya kabisa sherehe kuwa haiwezi tena kupima watu?Huu unaitwa uzandiki. Umeshuhudia kuwa hawapimwi?
Ninyi Wakenya mtajifia kwa njaa bure .Nusu ya Kenya ni jangwa mnategemea Tanzania kwa chakula. Zuieni watu wenu wanaoingia Tz kwa njia za panya kuja kuhemea huku!Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.
Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.
Huu ulaghai wetu unatuharibia....wahujumu uchumi namba moja ni viongoz wa tanzania hv mnafikiri watu wote ni waapuzi wataamini ulaghai wakat mambo yapo hadharan mmechukulia ugonjwa poa wakat wenzenu wapo sereous