denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kutofautiana kwenye nini? kuwa specific.Vipimo vya Kenya na Uganda vimetofautiana mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutofautiana kwenye nini? kuwa specific.Vipimo vya Kenya na Uganda vimetofautiana mara ngapi?
Kwenye majibu,huku mtu akasoma positive kule negative!Kutofautiana kwenye nini? kuwa specific.
Mnasema kwenu wagonjwa wamebaki wanne, balozi wa Marekani anatoa taarifa yake anaonesha hali bado mbaya, nani atawaamini nyie?Ukiacha hayo mengine ambayo naona Kama out of focus na yana majibu mazuri na justification,
Suala ni kuwa tulikubaliana na Kenya kupima madereva na kutoa vyeti, kwa vipimo hivi hivi vinavyotumika. Yaani Kenya walikubali dereva na wasaidizi wakiwa na vyeti toka Tz vitakubalika Kama vilivyo.
Ukifanya tofauti ni utoto au una nia iliyojificha, vinginevyo usingeingia kwenye makubaliano, simple and clear!
Kwenye hili la corona wako sahihi tupunguze matumiz ya bangi za kolomijr ktk kukabiliana na jambo hiliHakuna haja ya kuwabebeleza wakenya, washushe mzigo na sisi tushushe mzigo, kila mtu arudie kwake basi hiyo mdo njia pekee iliyobaki,
Wakenya wanadhani muda wote wanatakiwa kumiliki uchumi peke yao katika africa mashariki,
Toka tanzanite, dhahabu na vitu vingine, utalii kuwa introduced na tanzaia sasa wanafura.
Bandari na matreni yanafanya kazi mizigo ya nchi jirani sasa wanaugua,
Watulie tu hakuna namna.
Hili sijawahi kulisikia ndio nimeliona kwako, weka ushahidi hapa kama unao.Kwenye majibu,huku mtu akasoma positive kule negative!
Wewe Una mwamini zaidi jirani yako kiasi cha kumwachia familia yako akulindie ukiamini utaikuta salama hajaichakachua, Jiamini weweTatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Uko nyuma ya Wakati mkuu, wenzia Hilo faili karibu tunalitupa kabatini wewe bado unataka lianze upya kusomwa, punguza mahaba na Mpenziyo Covd bhana,Tumieni akili acheni hasira, matendo yenu yanaleta aibu kwa taifa, mjifunze kusikiliza wengine.
Hapa ndio mtajua ule uongo wenu wa wagonjwa kupungua huwa mnajidanganya wenyewe.
Naona uko so emotional. ukiweka emotion kwenye hili swala utatoa majib ya ajabu. Ningeoendekeza uweke logic.Nashangaa watu bado wanashupalia issue ya corona! Eti Tz bado ni tishio! Kisa wamcriminalise JPM!
Rubbish, corona siyo issue tena kwa Tz! Ndiyo maana watanzania wako busy na maisha Yao ya kila siku. Hao wanaotaka kulazimisha kwamba corona ni tatizo Tanzania, ingekuwa kweli wala wasingelazimisha, ungeshuhudia vilio, simanzi na masononeko kila kona ya nchi hii.
TB ni pandemic?U serious unakuja wapi mkuu,ushaambiwa corona haishi leo wala kesho tutaishi nayo, hii corona ni vita ya kiuchumi, tusipokaa sawa mataifa mengi yatadondoka kiuchumi,Mkuu unaijua TB?
Unazungumzia herd immunity.? Incase hujajua yako mataifa machache yaliyofanikiwa kuudhibiti huu ugonjwa. Wamewezane wao? Kwann wengine wana struggle?Ukweli ni kwamba hakuna taifa linamudu kuthibiti covid19, tutaishi nayo na kuimudu kwa kinga za mwili. Wachache wetu dhaifu tuwakinge pekee. Tuendelee kupumuliana kubadilishana virus na bacteria useful kuboresha kinga.Kwa hili nampongeza sana JPM kutupa moyo.
Huo ni uzandiki. Lini wamesema imeisha?Unaelewa kuwa serekali ambayo imetangaza kuwa Corona imeisha na ikafanya kabisa sherehe kuwa haiwezi tena kupima watu?
Kwasababu mapema. Hamaanishi watu warelax. Wasichukue hatua zozote.U serious unakuja wapi mkuu,ushaambiwa corona haishi leo wala kesho tutaishi nayo, hii corona ni vita ya kiuchumi, tusipokaa sawa mataifa mengi yatadondoka kiuchumi,Mkuu unaijua TB?
Yaani mtu akikaribia kufilisika lawama zake ni kulogwa kuibiwa nk! Tanzania tupunguze lawama.
Suppose you're a president of the United republic of Tanzania, what you can do to fight against Covid-19 without affecting daily human activities and economic development of your country.Tanzanian President John Magufuli has said the number of coronavirus patients in hospitals is declining, although the government has not released data on infection rates for many weeks.
The president has repeatedly downplayed the risk of the pandemic, causing alarm among neighbouring African countries and international organisations.
The government has even urged Tanzanians to dedicate three days for thanksgiving this weekend as they say they're beating the virus.
So what do we know about the situation in Tanzania?
Where is the data?
The main issue is that there's been no official data on the coronavirus for weeks, and there are concerns that the authorities are trying to downplay the extent of the outbreak.
Doctors and healthcare professionals are afraid to speak out about coronavirus because of a climate of fear.
"Tanzania has always had very repressive laws against freedom of expression and the press," says Roland Ebole, a regional researcher at Amnesty International.
"We are now seeing these laws being used in a more intensive way to target those who are speaking out, especially about Covid-19," says Mr Ebole.
The government stopped releasing daily updates on the number of positive cases in April, with the president saying they were creating panic.
The Africa Centres for Disease Control and Prevention has "strongly" called on Tanzania to release its latest data on the outbreak.
The last figures, published on 29 April, reported 480 cases and 21 deaths (its island territory Zanzibar has since added 29 more cases in May).
Sasa bahati mbaya nyie mkipuuza kwa ujinga wenu, majirani zetu wanagoma kufuata ujinga wenu wa kupuuza.Uko nyuma ya Wakati mkuu, wenzia Hilo faili karibu tunalitupa kabatini wewe bado unataka lianze upya kusomwa, punguza mahaba na Mpenziyo Covd bhana,
Hata nyuzi zake zinaletwa humu mbonaHili sijawahi kulisikia ndio nimeliona kwako, weka ushahidi hapa kama unao.