Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Kwanini mlikubali kuingia makubaliano nasi? Ninyi ni wehu? Mnashida gani na Tanzania?

Tulikubaliana kwamba tukipima na kugundua Mtanzania ana Corona, hatumtangazi, tunampokeza kwa mamlaka yenu kimya kimya ili muendelee kuficha, maana shida yenu kubwa ilikua hamtaki kuumbuka.
Suala la kupima lipo pale pale lazima tuwapime, hivyo vyeti vya kufoji hapo kwenu kariokoo vitatusababishia maafa huku, huu sio muda wa kucheka na nyie watu, huko kwenu mumezembea na kujichokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usishau na eti anapigwa vita, anaonewa wivu, anahujumiwa nk!! Tumewatangazia dunia kuwa hatufanyi tena upimaji kwa sababu hatuna tena corona - halafu watu wanatokea na vyeti vimejazwa majibu bila vipimo kufanyika!!
Mlitangaza humu kuwa hakuna mtalii atakuja kwa kuwa hatutangazi wagonjwa na makuwadi wenu wa mabeberu wanatoa tahadhali juu ya watu wao, lakini huwezi mpangia mtu maisha yake bado hao wtalii wanakuja, sasa hamuoni aibu mkakaa kimya?
Uhuru kashindwa kuiongoza sasa kenya kila siku anapambana na Ruto na wafuasi wake, unatengemea nini kwa watendaji waliogawanyika?
Inawezekana uhuru anahujumiwa maana pia huo serikarini kuna wafuasi wa Ruto.
 
Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.

Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.
Hata Marekani iliyokuwa inatangaza idadi kubwa ya maambukizi bado raia wake hawakutishika na hadi sasa wako barabarani na mitaani wanaandamana kwa maelfu na malaki. Wale wamepewa certificate na nani? Pale kuna kujikinga na corona kwenye yale maandamano?

Hii corona ni zaidi ya corona. Hao madereva wa Tanzania tangu mwezi wa tatu wanayumbishwa yumbishwa kisa corona, hadi leo miongoni mwao wamekufa wangapi?

Watupe data za vifo vya hivi karibuni vya madereva hao wa Tanzania hata kama vifo vyao vilikuwa vya kawaida maana wahenga walisema mficha maradhi kifo kitamuumbua
 
Tanzanian President John Magufuli has said the number of coronavirus patients in hospitals is declining, although the government has not released data on infection rates for many weeks.

The president has repeatedly downplayed the risk of the pandemic, causing alarm among neighbouring African countries and international organisations.

The government has even urged Tanzanians to dedicate three days for thanksgiving this weekend as they say they're beating the virus.

So what do we know about the situation in Tanzania?

Where is the data?

The main issue is that there's been no official data on the coronavirus for weeks, and there are concerns that the authorities are trying to downplay the extent of the outbreak.

Doctors and healthcare professionals are afraid to speak out about coronavirus because of a climate of fear.

"Tanzania has always had very repressive laws against freedom of expression and the press," says Roland Ebole, a regional researcher at Amnesty International.

"We are now seeing these laws being used in a more intensive way to target those who are speaking out, especially about Covid-19," says Mr Ebole.

The government stopped releasing daily updates on the number of positive cases in April, with the president saying they were creating panic.

The Africa Centres for Disease Control and Prevention has "strongly" called on Tanzania to release its latest data on the outbreak.

The last figures, published on 29 April, reported 480 cases and 21 deaths (its island territory Zanzibar has since added 29 more cases in May).
Kuna mtu mmoja aliingiwa pepo mchafu, Wakati akihangaika Pastor mmoja akatokea, basi ikawa faraja Kwa hao waliokuwa wamemzunguka wamekosa namna ya kumsaidia

Pastor ikabidi asaidie Kwa maombi, Wakati akiendelea na maombi, mara akatokea mumewe wa huyo mwenye mapepo, naye hakuwa anaamini Mungu na maombi, basi akafika pale akamfokea Sana huyo pastor Kwa maneno magumu na kumdhihaki Sana huyo Mungu kama alivyofanys huyu mjinga aliyeandika

Pastor naye akakosa msamaha ndani yake, akaliamrisha lile pepo limwingie huyo mume mtu, daah, kilichofuata baada ya pepo Hilo kumwingia huyo jamaa ni vigumu kusimulia, Jamaa alikimbia kimbia ovyo na kupiga mayowe kana kwamba ni kichaa

Watanzania wenye Imani walioungana na Raisi Wao kuomba na kukemea CVD 19, na Mungu aliyeondoa hiyo Corona, yeye hadhihakiwi, Na sasa atawakomesha wote waliomkataa

Wote waliotegemea Utajiri Wao na ubora wa matibabu katika nchi zao, ingawa si vizuri kuwaombea pepo mchafu awaingie, lakini matendo Tu yanayotokea kwenye nchi zao ni dhahiri kabisa Mungu anawapa ishara ya kumrejea yeye, wote wanaopinga namna Raisi alivyoliongoza Taifa lake kukabiliana na Corona wanapatwa na vitu vya ajabuajabu,

Shuhudia kinachowapata Wamarekani, bado hao wajinga wenu WHO ingawa Kwa sasa akiri zimeanza kuwarudia,

Cheki hao Chadema kinachowatokea huko, sababu walipinga maombi, na yeyote ajiangalie asije akapatwa na Hasira za Mungu,.
 
😆😆😆😆
 
Attachments

  • - JokesKidogo Kati ya vitu ambavyo Corona ilikosea ni kuja bongo. Yani yenyewe in ( 600 X 480 ).mp4
    3.3 MB
No; ni upumbavu zaidi kuweka imani yako kwa wengine zaidi ya unavyojiamini wewe.

Ni sawa na kutembea uchi barabarani usubiri kuvishwa nguo na wapita njia!.

Sawa kama umeelewa basi akiri itakuwa inawarudi polepole, lazima kama nchi tujiamini , sio mazombi humu yanasema eti vipimo vyetu haviaminiki hivyo tukubli kupimwa tena na wakenya, kwa u special gani?
Mjitambue, hatutaki ujingaujinga.
 
Gud, hili ni kwa majirani zetu ambao wao hawana mgogoro; sasa vipi kwetu balozi wa Marekani anasema hali ya ugonjwa bado mbaya, halafu sisi tunasema wamebaki wanne, wakenya wamuamini nani hapa?!

Kwanini msiwaache wakapima wagonjwa wetu wao wenyewe wajiridhishe, km kweli wamebaki wanne pressure ya nini!.
hii ya kufunga mpaka ndo nzuri kia mtu abaki kwao, hawa leongo o ni kuzuia madereva wasiende kenya ht wakiruhusu wapimwe tena jibu inajulikana wataambiwa wanacorona na watawazuia kuingia wakae karantini sasa kwanini madereva wetu wateseke na tabia za wakenya kwa watz wakiwa huko kwao si za kiungwana labd kama huwajui.
 
Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.

Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.

Unafurahia huo mpaka kufungwa halafu baada ya siku mbili Rais wenu anampigia tena magoti Magufuli kuomba mpaka ufunguliwe! Mnastahili kabisa kuitwa Manyang'au! Maana hamueleweki mnataka nini.
 
Hivi wale wanaoandamana USA wanapimwa kwanza ndiyo wanaingia mtaani? Maana huko ndiyo kumepamba moto

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanashabikia eti wakiona barozi wa mareknaini ansema Tanzani kuna hali mbaya eti raia wao warudi kwao, sas unajiuliza huko kwao ndo corona imetia nanga ni sawa nyumba yako inaungua kisha unawaita watoto watoke kwa jirani ambae amezima huo moto.kwake waje kwenye nyumba inayoungua na inaonekana kuteketea sasa sijui hiyo ni akiri ya tope?
 
Kuna mtu aliwahi kupendekeza . Ili hili jambo liende sawa . Madkatari wetu wawepo mpakani.

Wanaoingia Kenya waanze kupimwa mpaka wa Tanzania. The baadae mpaka mpaka wa Kenya wapimwe tena.
Kuwe na some sort of check and re-check system.
MKuu ni kwamba walikubaliana madereva wapimwe upande mmoja katika hali ya kuaminiana. Dereva kutoka Tanzania anaingia Kenya na cheti alichopimiwa Tanzania, na Kenya walipaswa kuamini kwamba kweli alipimwa. Sasa Wakenya wakagundua kwamba hata wale wenye vyeti kwamba hawana Cor0na kumbe wana Corona. Wakatonywa kwamba upande wa Tanzania watu wanapewa vyeti bila hata kupimwa, ili mradi umetoa mshiko. Wakaamua kama ni hivyo basi watawapima tena madereva wa Tanzania wakiingia upande wa Kenya. Tanzania haitaki.

Mie ndahani suluhisho ni kusema basi madereva wote wapimwe mara mbili. Hii itafanya upande wa Tanzania kutotoa vyeti bila kuwapima atu.

Yaani Tanzania hapa haina cha kujiteteta. Inakuwaje madereva wenu mliowapa vyeti tukiwapima randomly wanaonekana wana Corona wakati mmewapa vyeti kusema hawana?

Kwa kujiteteta na kuficha aibu Tanzania ilipaswa kusema tunaona vipimo vyetu vina matatizo!
 
Kuna mtu mmoja aliingiwa pepo mchafu, Wakati akihangaika Pastor mmoja akatokea, basi ikawa faraja Kwa hao waliokuwa wamemzunguka wamekosa namna ya kumsaidia

Pastor ikabidi asaidie Kwa maombi, Wakati akiendelea na maombi, mara akatokea mumewe wa huyo mwenye mapepo, naye hakuwa anaamini Mungu na maombi, basi akafika pale akamfokea Sana huyo pastor Kwa maneno magumu na kumdhihaki Sana huyo Mungu kama alivyofanys huyu mjinga aliyeandika

Pastor naye akakosa msamaha ndani yake, akaliamrisha lile pepo limwingie huyo mume mtu, daah, kilichofuata baada ya pepo Hilo kumwingia huyo jamaa ni vigumu kusimulia, Jamaa alikimbia kimbia ovyo na kupiga mayowe kana kwamba ni kichaa

Watanzania wenye Imani walioungana na Raisi Wao kuomba na kukemea CVD 19, na Mungu aliyeondoa hiyo Corona, yeye hadhihakiwi, Na sasa atawakomesha wote waliomkataa

Wote waliotegemea Utajiri Wao na ubora wa matibabu katika nchi zao, ingawa si vizuri kuwaombea pepo mchafu awaingie, lakini matendo Tu yanayotokea kwenye nchi zao ni dhahiri kabisa Mungu anawapa ishara ya kumrejea yeye, wote wanaopinga namna Raisi alivyoliongoza Taifa lake kukabiliana na Corona wanapatwa na vitu vya ajabuajabu,

Shuhudia kinachowapata Wamarekani, bado hao wajinga wenu WHO ingawa Kwa sasa akiri zimeanza kuwarudia,

Cheki hao Chadema kinachowatokea huko, sababu walipinga maombi, na yeyote ajiangalie asije akapatwa na Hasira za Mungu,.
Kwa utakatifu gani viongozi wetu walionao wa kuomba na kusikilizwa kuliko Pope Italy, Allahtoya Iran, na chi nyingine zote za Africa hazimjui Mungu?
 
MKuu ni kwamba walikubaliana madereva wapimwe upande mmoja katika hali ya kuaminiana. Dereva kutoka Tanzania anaingia Kenya na cheti alichopimiwa Tanzania, na Kenya walipaswa kuamini kwamba kweli alipimwa. Sasa Wakenya wakagundua kwamba hata wale wenye vyeti kwamba hawana Cor0na kumbe wana Corona. Wakatonywa kwamba upande wa Tanzania watu wanapewa vyeti bila hata kupimwa, ili mradi umetoa mshiko. Wakaamua kama ni hivyo basi watawapima tena madereva wa Tanzania wakiingia upande wa Kenya. Tanzania haitaki.

Mie ndahani suluhisho ni kusema basi madereva wote wapimwe mara mbili. Hii itafanya upande wa Tanzania kutotoa vyeti bila kuwapima atu.

Yaani Tanzania hapa haina cha kujiteteta. Inakuwaje madereva wenu mliowapa vyeti tukiwapima randomly wanaonekana wana Corona wakati mmewapa vyeti kusema hawana?

Kwa kujiteteta na kuficha aibu Tanzania ilipaswa kusema tunaona vipimo vyetu vina matatizo!
Ni ngumu lakin ndio solution iliyobaki. Watu wapimwe mara 2.
Atoke na cheti tz. Akifika kenya napo apimwe.
Unajua shida yetu sisi tunaona kama vile tunaonewa.

Njia uliopendekeza ndio naona iko sawa. Maana sasa kama kuaminiana kumeisha. Lazima twende na logic.
 
Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.

Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.
Unaongea ujinga kweli, Tatizo Mnajikuta mnaakili sana kumbe manyang'au tu.Kama kweli mnajali uhai kuliko pesa muendelee kujifungia hadi angalau mwishoni mwa mwaka huu muone kazi tuwape tuzo za kuthamini uhai. Haujifunzi tu hata kwa marekani maandamano yao huko na ufaransa? Labda kama muko na ajenda nyingine mbali na Corona ila kama ni corona ni wivu tu utakua unawasumbua.
 
Kuna watu wanashabikia eti wakiona barozi wa mareknaini ansema Tanzani kuna hali mbaya eti raia wao warudi kwao, sas unajiuliza huko kwao ndo corona imetia nanga i sawa nyimba yako inaungua kisha unawaita watoto watoke kwa jirani ambae amezima huo moto.kwake waje kwenye nyuma inayoungua na inaonekana kuteketea sasa sijui hiyo ni akiri ya tope?
Mkuu umepima wewe na kuona kwamba huna virusi vya Corona? Nenda kapime, unaweza kukuta unawaomba msamaha Marekani kwa ulichosema.

Jiulize, kwa nini tulipofikia wagonjwa 420 Magufuli alipiga marufuku kutangaza wagonjwa na vifo? Alisema ina panikisha watu. Jiulize, kungekuwa na tatizo gani kutangaza kama idadi ingekuwa inashuka - unawezaje kupanikisha watu wakati unatoa data kuonyesha idadi ya wagonjwa na vifo inashuka? Uliona wapi mtu anapaniki kwa kuwa mgonjwa anapata nafuu?

Na jiulize ikiwa 420 ilikuwa ni idadi bila ya kupima watu mitaani, kama leo tukiamua kupima watu mitaani, tuseme hata 5000 kwa siku, tunakua na idadi gani yenye watu wenye virusi vya Corona?
 
MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa.

boda.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameiambia Nipashe jana kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa Kenya kukiuka makubaliano ya pande hizo mbili, waliyotiliana saini Mei, mwaka huu kwa kuzuia madereva wa Tanzania, kukataa vyeti ili wawaruhusu kuingia Kenya.

“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.

Katika makubaliano hayo waliamua katika lori itaruhusiwa dereva na wasaidizi wawili kuingia katika nchi husika wote wakiwa wamepimwa kama wana maambukizo ya corona.
Hata hivyo, alisema upande wa Kenya wamebadilika juzi (Jumatatu) kwa kuzuia na kutaka kuwapima tena.

“Pamoja na juhudi za mimi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kuwasiliana na viongozi wenzetu wa Kenya, lakini zimegonga mwamba na ndipo tukaamua kuzuia vyeti vyote na magari ya mizigo kutoka Kenya pamoja bidhaa zote zinazoingia kutoka nchini humo hadi hapo tutakapokaa tena na kufikia muafaka maana sote tunategemeana, Kenya wanatuhitaji kama soko na sisi wanatuhitaji pia ili kuuza bidhaa,” alisema Mwaisumbe.

Alisema mwezi Mei makubaliano ya kuruhusu kuaminiana pande mbili yalikaliwa kikao na mawaziri wa mambo ya nje za nchi, makatibu wakuu, wataalamu na viongozi wengine wa mikoa na wilaya wa kutoka nchi mbili katika mpaka wa Namanga, kufuatia mazungumzo ya Rais John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata ambao waliwaagiza viongozi wanaohusika kukaa na kufanya vikao na makubaliano, huku wakichukua tahadhari za ugonjwa huo na kuona namna ya kuendelea na biashara kwa nchi hizo.

Alisema kama hali ya kutoaminiana itaendelea, itawalazimu kutoa uamuzi wa kuigeuza Namanga kuwa bandari kavu na majirani Wakenya watashusha mizigo au bidhaa upande wake na Tanzania kuichukua na pia hata Tanzania itapeleka wa Tanzania ili Kenya waifuate.

“Nchi yetu ni huru inayojitegemea haihitaji kubembeleza nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu sisi tunategemeana, haiwezekani mambo ambayo yameagizwa na marais viongozi wa chini hawatekelezi…linaashiria dharau na ajenda ambayo wanadhani ni siri iliyofichika kumbe sisi tunaifahamu, hatutaweza kuivumilia hata kidogo,” alisema.

Alisema, nia ya Rais Magufuli ni kuwasaidia watu wa hali ya chini kwa kuwa uamuzi huo unapofanyika wanao umia ni watu wa chini.

“Nataka nikuhakikishie ndugu kupima kipimo cha Covid-19 sio lelemama kinaumiza sana, sasa haiwezekani siku mbili mtu amechokonolewa pua, halafu anatoka upande wa Tanzania anaenda upande wa Kenya anafanyiwa kitu kile kile, sasa hali hii kwa kweli sio sahihi, tunataka hiyo agenda yao ya siri ijitokeze hadharani tushughulike nayo kuliko kutumia ugonjwa wa Covid-19, sisi hatutakuwa tayari,” alisema Mwaisumbe.
Nimeupenda sana huu msimamo,hawa wakenya ni majirani zetu ,ni marafiki zetu lakini hatutakiwi kuwaamini sana,wanataka kujifanya wao wako makini sana kutuzidi sisi,ninakubaliana kuwa there is a hiden agenda....
 
Kwa utakatifu gani viongozi wetu walionao wa kuomba na kusikilizwa kuliko Pope Italy, Allahtoya Iran, na chi nyingine zote za Africa hazimjui Mungu?
Naona ameandika hadithi zisizo na logic. Kuna tofauti kubwa kati ya reality na imani.
Okay maybe sisi tuna imani.. lakin wenzetu hawana. Hatuwez walazimisha waenende katika njia zetu.
Wao wanataka concrete evidence.. sisi tunataka kupenyeza imani. Lazima tufarakane
 
Back
Top Bottom