EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Sa mbona huku kimesanda?πHakuna Mwafrika asiyejua kujifukiza, watu tunajifukiza na kuendelea kupukutika tu, kirusi kikishaingia kwenye damu hata ujifukize kivipi hamna chochote kitakusaidia.
Mkuu, habari ndio hiyo. Mara nyingine unapewa cheti kuwa huna Corona kwa kupimwa joto tu.Ndiyo maana mimi naamini 100% kuwa Tanzania hawawapimi madereva wao Corona!
You have a point brother. Una logic nzuri sana.Mwanzoni ni kama ilikuwa hivyo. Madereva wa Tanzania wakaja juu kwamba karibu 6 katika 10 wanaopimwa wanaambiwa wana Corona. Wakasema hawaamii vipimo vya Kenya, wanaonewa nk, ndio ilaleta mgogoro.
Nadhani unaweza kuelewa kwa nini Kenya wanashituka ikiwa katika madereva 10 wa Tanzania waliokuwa wanawapima walikuta 6 wana Corona, kwa wastani. Leo Tanzania ikiwapima hao madereva wanaonekana karibu wote hawana Corona!
Hakuna politics hapo. Serikal iko concerned since namba za corona cases zimeongezeka.rapidly in short time.Ni Siasa. Next Election Laila Odinga lazima atachukua nchi!
Tukiacha ushabiki na kutumia akili kidogo tutafika mbali. Kusema wagojwa wamebaki wanne hawajasema ugojwa umeisha sababu kumbuka hatua zilianza kuchukuliwa tukiwa na mgonjwa moja. Na hiyo assumption ya ugonjwa kuisha nimeiona ni yako kumbe hakuna kiongozi aliyesema. Kuhusu kua na wagonjwa wengi kama hakuna madhara makubwa yaletwayo nayo kuna haja gani ya kutoendelea na maisha kwa tahadhari? Inawezekana Mimi na wewe Tukawa na corona kweli lakini kama tunaweza kuendelea na mambo had unaweza bishana hapa lazima maisha yaendelee. Nataka kuona nchi itakayo endelea na lockdown hadi kuisha kwa corona.Kwa kusema wagonjwa wamebaki wanne tu Tanzania na sasa tunafungulia kila kitu ni sawa na kusema Corona imeisha. Taarifa hizo zilitolewa na Waziri Mkuu na kuthibitishwa na Waziri wa Afya.
Hatuwezi kujua idadi ya wagonjwa au wanaokufa kwa kuwa Tanzania ilsema haitatangaza kwa kuwa inapanikisha watu. Na pia hatuwezi kujua kwa kuwa Tanzania haipimi watu.
Inawezekana kabisa kwamba karibu 50% ya Watanzania wana virusi vya Corona, pamoja na mimi na wewe
Tz ni baba lao, Magufuri baba lao, wachache wenye mapenzi na Nchi yetu tunakuelewa, kwa huku kigoma hatujui kama hiyo kitu inayoitwa corona ipo, shughuli hapa town zinaendelea kama kawaida na barakoa hapa nilipo cjavaa aise, Mungu ibariki Tanzania πΉπΏ pia Mubariki Magufuri na watanzania wote hawa wale wasio weza kufikiri wanao fikiriwa na mabeberu wabariki piaWachache sana watakuelewa.
Wengi hapa wako kiushabiki, hawafikiri zaidi ya pua zao.
Sasa hao wanaochukulia serious kupambana na corona wapi wamefika na kupambana kwao, vip USA? Etc na Nchi zingine, hofu inaua kuliko corona, sisi tunajielewe sana kam Tz mpya tunalindwa na Mungu na sio mwandamu au maneno ya jirani,
Mkuu sisi wajuba tumekuelewa pua IQ yako kubwa sanaTukiacha ushabiki na kutumia akili kidogo tutafika mbali. Kusema wagojwa wamebaki wanne hawajasema ugojwa umeisha sababu kumbuka hatua zilianza kuchukuliwa tukiwa na mgonjwa moja. Na hiyo assumption ya ugonjwa kuisha nimeiona ni yako kumbe hakuna kiongozi aliyesema. Kuhusu kua na wagonjwa wengi kama hakuna madhara makubwa yaletwayo nayo kuna haja gani ya kutoendelea na maisha kwa tahadhari? Inawezekana Mimi na wewe Tukawa na corona kweli lakini kama tunaweza kuendelea na mambo had unaweza bishana hapa lazima maisha yaendelee. Nataka kuona nchi itakayo endelea na lockdown hadi kuisha kwa corona.
Labda wewe ndio unapaswa kutumia akili. Sio lazima uambiwe kila kitu.Tukiacha ushabiki na kutumia akili kidogo tutafika mbali. Kusema wagojwa wamebaki wanne hawajasema ugojwa umeisha sababu kumbuka hatua zilianza kuchukuliwa tukiwa na mgonjwa moja. Na hiyo assumption ya ugonjwa kuisha nimeiona ni yako kumbe hakuna kiongozi aliyesema. Kuhusu kua na wagonjwa wengi kama hakuna madhara makubwa yaletwayo nayo kuna haja gani ya kutoendelea na maisha kwa tahadhari? Inawezekana Mimi na wewe Tukawa na corona kweli lakini kama tunaweza kuendelea na mambo had unaweza bishana hapa lazima maisha yaendelee. Nataka kuona nchi itakayo endelea na lockdown hadi kuisha kwa corona.
Kama hakuna anaekufa kwanini watu walizikwa usiku kule Unonio na wazikaji wakiwa wamevaa mavazi mwalimu?
Hahaha,msimamo uko palepale,hakuna mkenya kumpima Mtz,mark my words, kama tuliwashurutisha mwanzoni mkaturembulia,ndio imetoka hivyo, utaendelea kuumia sana kwa sababu tunavyoongea sasa hivi,viongozi wanakuja kumpigia JIWE magoti tena! I insist,hakuna mkenya kumpima MTZ,over.Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.
Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.
πππSioni logic kwenye andiko lako.Huwez kujua mtu ana corona bila kupimwa.
Si watanzania wote wana corona. Wapo wanaopita mipakani fresh tu tena wako cleared na vipimo.
Siwez jua uhuru aliongea nn na jpm. Wakaja na resolution kila mtu apimwe kwake apewe cheti.
Kama wanamashaka na vipimo vya tz. Wanaweza alert mamlaka za tz wakaja na mbinu ingine.
Uswahili hapa hautotusaidia..
Sisi tupeleke madkatari wetu mpakani. Ili na wao wakiingia kwetu haijalishi vyeti vyao. Sisi tunapima tu.
Kuwe na check and re-check.. hapa tutaenda sawa.
[emoji3][emoji3]Mkuu una kichwa kigumu kweli... Tumeambiwa ugojwa umepungua kama unategemea ugonjwa huu kuisha endelea kusubiri . Kama umepungua lazima maisha yaendelee kwa tahadhari sio kama kawaida mbona kiswahili chepesi sana hiki au MKENYA wewe?Labda wewe ndio unapaswa kutumia akili. Sio lazima uambiwe kila kitu.
Kama tunaamini ugonjwa haujaisha, kwa nini tuanze kufungua shule, kuruhusu watalii, kuruhusu ligi na kusema watu waendelee na maisha kama kawaida?
Wewe ukiwa sio mwendawazimu utaruhusu yote hayo ukijua bado tuna tatizo la Corona nchini?
Poyoyo ww,ulipimwa joto ukapew a cheti?Mkuu, habari ndio hiyo. Mara nyingine unapewa cheti kuwa huna Corona kwa kupimwa joto tu.
Tanzania is a dying state!Mkuu, habari ndio hiyo. Mara nyingine unapewa cheti kuwa huna Corona kwa kupimwa joto tu.
Mbona New Zealand walipotangaza kuwa wamefanikiwa kutokuwa na wagonjwa wapya na pamoja na waliopo wamepona wote dunia haikutilia mashaka?
Kitu kikifanyika Africa basi media zitaanza kuwaandama.
Nimekuambia twende nitakupeleka sehemu utapata cheti hata bila kupima hilo joto. In fact, nitakuletea cheti. Wewe kaa guest nipe hela tu.Poyoyo ww,ulipimwa joto ukapew a cheti?