EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Sa mbona huku kimesanda?😉Hakuna Mwafrika asiyejua kujifukiza, watu tunajifukiza na kuendelea kupukutika tu, kirusi kikishaingia kwenye damu hata ujifukize kivipi hamna chochote kitakusaidia.