Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Wapi?Nimefanyiwa more than once.
Mara mbili toka mwezi FebruaryWw umeshawahi kufanyiwa unadai kinauma?
It's so painful and brutal kilinisababishia kutokwa damu puani nikaacha kabisa na wanachokoa kwa sekunde 10.Au unasikia stories tu.
Kama kisingizio ni kipimo kuuma?
Sijajua, ila huwezi kumfanyia mtu kama ulivyosema eti apimwe Namanga side ya Tanzania atoke hapo akachokolewe tena Namanga ya Kenya.Well mna mbinu zingine za kupima ambazo zimedhibitishwa kitaalam ni effective na zinatoa majib sahihi?
Hujui ndio maana uliandika hayo ila kwakuwa najua origin yetu ni ubishi basi huwezi kukubali utaendelea kubisha.