Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Nimefanyiwa more than once.
Wapi?

Ww umeshawahi kufanyiwa unadai kinauma?
Mara mbili toka mwezi February

Au unasikia stories tu.
Kama kisingizio ni kipimo kuuma?
It's so painful and brutal kilinisababishia kutokwa damu puani nikaacha kabisa na wanachokoa kwa sekunde 10.

Well mna mbinu zingine za kupima ambazo zimedhibitishwa kitaalam ni effective na zinatoa majib sahihi?
Sijajua, ila huwezi kumfanyia mtu kama ulivyosema eti apimwe Namanga side ya Tanzania atoke hapo akachokolewe tena Namanga ya Kenya.

Hujui ndio maana uliandika hayo ila kwakuwa najua origin yetu ni ubishi basi huwezi kukubali utaendelea kubisha.
 
Umama ni kumtetea mme wa mtu wakati unajua ana mke sasa huoni mtamlamba sana miguu ili mpate kuishi mjini
Hahahha... Mbona unajipiga vibao sasa?

Kwa hiyo hii tabia yako ya kiwatetea wanaume wa chadema unatuthibitishia umama wako.?
 
Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Lini Tanzania ilitangaza kuwa Corona imeisha,usisome ,wala ustazame,wala usisikilize vyombo vya habari vya udaku mzee utadakuliwa.
Eti Tanzania inaamini corona imesha,kha.
Watu huku wanaendelea kuhamasishwa kuchua tahadhari halafu wewe unakuja kusema kitu ambacho hakijawahi kusemwa.
 
Mbona unasema na kutuhumu lakini inaonekana huna hakika nacho?nivyema kama jambo hulijui ni bora ukae kimya ili uwape nafac wanaojua waeleze!
Wewe ndiye huna uhakika ila mimi nilihudhuria ile party ya Bashite ya kuaga Corona!
 
Dah... nchi ishamshinda Uhuru hiyo.. yani watu wa chini yake wanachukua majukumu ya kuvunja makubaliano wazi wazi na yeye yupo tu ana veveka!?.. sasa aanze tena kupiga simu kulia lia upya.
 
Dah... nchi ishamshinda Uhuru hiyo.. yani watu wa chini yake wanachukua majukumu ya kuvunja makubaliano wazi wazi na yeye yupo tu ana veveka!?.. sasa aanze tena kupiga simu kulia lia upya.
Yaani UK mtoto wa mjini ...ameishi Urusi n US amtetemekee mtu ambaye hajawahi hata kufika duniani n kingine UHURU anaongea sana Kimombo kuliko kiswahili n unajua mzee wako lugha ni kikwazo? [emoji3]
 
60% pesa ya mabwana zenu kutoka duniani usisahau hilo
Wanaleta bure?

BTW hivi unajua uchumi wa Kenya kwa bwanaako Uhuru unaemhusudu kwamba ni mjanja uko mahtuti? Deni ni 67% ya pato jumla la Taifa,!
 
Yaani UK mtoto wa mjini ...ameishi Urusi n US amtetemekee mtu ambaye hajawahi hata kufika duniani n kingine UHURU anaongea sana Kimombo kuliko kiswahili n unajua mzee wako lugha ni kikwazo? [emoji3]

Tema kwanza hiyo taksima ndio uongee, hueleweki asee.

Uhuru ni looser mmoja, kwanza hata hapo alipo kwa sasa anajuta kuwa kiongozi wenu maana he is out of options. Amegeuka umbwa kichaa anataka kumu-uma yoyote tu mbele yake.
 
Yaani UK mtoto wa mjini ...ameishi Urusi n US amtetemekee mtu ambaye hajawahi hata kufika duniani n kingine UHURU anaongea sana Kimombo kuliko kiswahili n unajua mzee wako lugha ni kikwazo? [emoji3]
Ndio ujanja wa Uhuru huu?
Screenshot_2020-06-04-15-48-38.jpeg
 
Wapi?

Mara mbili toka mwezi February

It's so painful and brutal kilinisababishia kutokwa damu puani nikaacha kabisa na wanachokoa kwa sekunde 10.

Sijajua, ila huwezi kumfanyia mtu kama ulivyosema eti apimwe Namanga side ya Tanzania atoke hapo akachokolewe tena Namanga ya Kenya.

Hujui ndio maana uliandika hayo ila kwakuwa najua origin yetu ni ubishi basi huwezi kukubali utaendelea kubisha.
Mm sio mbishi. Na huwez niambia sijui wkt i have been there. I sawa it.. i experience it. Unafikiri ni ww tu ndio unavuka mpaka?
Think again man.
Kama kwa sasa solution ya upimaji iliyopo ndio hiyo. Na ww mwenyewe hapo mwisho umekubal hakuna mbinu zingine za upimaji.
What else?
Unless labda wakae chini wajadili kurahisisha hili. Otherwise hakuna namna.
 
Katika kushughulukia hili, hekima ni muhimu sana kutumika. Kwanza Kenya baada ya kuona au kuhisi hatari yoyote ile, ilibidi iwasiliane na upande mwingine na kuona ni namna gani bora ya kutatua hilo. Kitendo cha kuanza kufanya kitu kinyume na makubaliano si sahihi. Siku zote mazungumzo ndiyo hujenga. Tanzania hatuingilii utaratibu wa ndani wa nchi nyingine wa kupima watu, licha ya kuwa namna ya kuripoti hizo taarifa siyo sahihi pia, lakini kutoa taarifa kwa upande mwingine ni muhimu.

Nenda kasome makubaliano yalivyokua, tulikubaliana kutakua na kitu kinaitwa random checks hata kama una cheti utakua unaibukiwa na kupimwa mara moja moja, hiki kipengee kipo kwenye makubaliano, kayasome...Sasa ikiwa hizi random checks kila zikifanywa wanakutwa na corona, lazima tutilie shaka hayo makaratasi yenu mumefoji kariokoo.

Kikubwa nyie mlitaka kila tukipima tusitaje taifa la waathirika ili tusiwaumbue mnavyoficha, hilo tulizingatia ila mkatuahidi hamtaruhusu Watanzania wenye corona kuja kwetu, lakini sasa tunaibukiwa na watu wenye vyeti vilivyo na mihuri na kila kitu ila wakifanyiwa random test wanakutwa wamesheheni kirusi, hapa aidha tuendelee kucheka cheka na nyie watu au tufanye maamuzi magumu.

Kwa kweli mumekua kero dhidi ya majirani zenu wote EAC na SADC, hamtaki mpimwe na bado mnataka mng'ang'anie kuingia kwenye mataifa ya watu. Mnaogopa kupimwa kwanini, tumeshawaahidi hatutawaumbua, tunapokeza waathirika wenu kimya kimya ili kutunza siri yenu, na bado mnalialia.
 
Kenya inayo haki ya kulinda afya ya raia wake.Hali kadhalika watanzania wanayo haki ya kujifukiza hadi kuchizika. Watanzania hawana haki ya ku export covid19.
 
Back
Top Bottom