Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
CCM ndio mko deparate kiasi hiki?
Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki

Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia
. Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni

.
Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.
Pia soma: Pre GE2025 - Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?
Bado mtaisoma namba kama mwimbo wenu unavyosema mpaka akili ikae vizuri😂😂. Ni mwendo wa mikausho mikali tu kama hatuwaoni vile.
Watanzania wa jana si wa leo, tongotongo zinaanza kuondoka na mwangaza kuonekana.
Chawa mnasemajeeeeee..... tumewashika mwaka huuu mtakauka

CCM ndio mko deparate kiasi hiki?

Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki

Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia
. Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni

.Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.