Pre GE2025 Mpaka yanatumika magari kutangaza birthday ya Rais Samia lakini bado kiki imebuma. Safari hii watanzania wamenuna kwelikweli!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Your browser is not able to display this video.


CCM ndio mko deparate kiasi hiki? Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki

Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia . Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni.

Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.

Pia soma: Pre GE2025 - Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

Bado mtaisoma namba kama mwimbo wenu unavyosema mpaka akili ikae vizuri😂😂. Ni mwendo wa mikausho mikali tu kama hatuwaoni vile.

Watanzania wa jana si wa leo, tongotongo zinaanza kuondoka na mwangaza kuonekana.

Chawa mnasemajeeeeee..... tumewashika mwaka huuu mtakauka
 
Ni ujinga kabisa huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…