Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Status
Not open for further replies.
Hee hadi masuala ya mange kumhonga frank hela ya guest yanahusu future ya mtoto wao?kumuita baba mtoto wake shoga mara mshamba nayo vipi? Kuwa mtanzania ni tiketi tosha ya kupata kipaji adimu cha UDAKU.
Hivi kati ya watu wa humu na mange mwenyewe nani kaleta private issues!!
Si kayakoroga mwenyewe, mabishano gani yanayohusu mtoto ya kutukanana na kuvuana nguo hadharani? Hebu watoe ujinga wao waache kumtumia mtoto kwa maslahi yao.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa mfyonye wakati ndio uwezo wake!! Kumsikiliza mange inabidi akili yako ifanane na yake kwanza.
Sasahivi amekazana na huyo mr rolex the billionaire, teh teh teeeh, hivi ingekuwa kweli si watu wangeshakoma.
Ni kweli kwenye ubongo wake tu mkuu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa mfyonye wakati ndio uwezo wake!! Kumsikiliza mange inabidi akili yako ifanane na yake kwanza.
Sasahivi amekazana na huyo mr rolex the billionaire, teh teh teeeh, hivi ingekuwa kweli si watu wangeshakoma.
Hahahaaa....kwa hiyo inawezekana huyo Mr. Rolex akawa ni imaginary?

Hahahaa kaaz kwey kwey aisee!
 
Alivyo attention seeker huko alipo anafurahia kuongelewa,yupo busy anatafuta picha na skendo za zaman za frank amlipue vizuri.(bidada na maktaba kabisa ya throwbacks na skendo za kila adui yake)
Hivi kati ya watu wa humu na mange mwenyewe nani kaleta private issues!!
Si kayakoroga mwenyewe, mabishano gani yanayohusu mtoto ya kutukanana na kuvuana nguo hadharani? Hebu watoe ujinga wao waache kumtumia mtoto kwa maslahi yao.
 
Hahahaaa....kwa hiyo inawezekana huyo Mr. Rolex akawa ni imaginary?

Hahahaa kaaz kwey kwey aisee!
Maisha yake karibia yote ni imaginary yule mwanamke, yaani yale maisha anayoyaota ndio anayoaminisha watu anaishi.
Ingekuwa kweli mama misifa yule mbona watu wangenyooshwa hatari.
 
Alivyo attention seeker huko alipo anafurahia kuongelewa,yupo busy anatafuta picha na skendo za zaman za frank amlipue vizuri.(bidada na maktaba kabisa ya throwbacks na skendo za kila adui yake)
Yaani ile ni mental case aisee!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umenifurahisha sana
 
Sijui nyie wengine lakini kwa mfano mimi mama yangu ndo angekuwa na tabia kama za huyo dada ningekuwa nimeshamkana zamani mno.

She is a disgrace. A sorry excuse for a mother.

Mama gani huyo kutwa kucha anashinda anatukanana na watu huko mtandaoni?

Hao wanae watakuwa na nini cha kujivunia kuhusu huyo mzazi?

Mimi hapa nilipo huwa natembea kifua mbele kwa kujidai jinsi ambavyo wazazi wangu walivokuwa waadilifu.

Kwa kweli watu wengine ni wa ajabu na binafsi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…