titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Sawasawa mkuu sasa tunamsaidiaje huyu.maana keahakuwa kituko cha taifa.Itakuwa ni ADHD au SAD aiseee sioni kama inaweza ikawa PTSD mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa mkuu sasa tunamsaidiaje huyu.maana keahakuwa kituko cha taifa.Itakuwa ni ADHD au SAD aiseee sioni kama inaweza ikawa PTSD mkuu
Inasemekana pia Bhoke aliona mama yake na Mariam Nnauye wameungana kwenye page ya huyo Mariam wakimpiga madongo ya nguvu baba yake,so hakufurahi aliingia na fake I'd then akampa taarifa baba yakeHivi Bhoke atajisikiaje akiona matusi wazazi wake wanavyotupiana?
I see!!!Hebu nipishe Mimi Ain't a woman nini.mwanaume kakuzingua mpe mwanae amlee na yeye awe single dad.nenda kapige mishe zako za kuongeza kipato mtoto akikua njoo umchukue as men always they do dat.kila kona single mama sababu ya kujitojitambua.
Sitashangaa maana yule ni mgonjwa.Kuna siku Mange atajitukana mwenyewe.
Kama haitoshi eti baba yake ni shoga!!Jamani yani Bhoke anafahamu alikuja duniani kwa kupitia chuku chuku za guest?
Alafu alivyo tuntunya anavyojielezea utadhani kuna cha maana anaelezea, kumbe ndio anazidi kujivua nguo.Hahaaa ee tena alikalishwa geto,mange akachoka akaenda kumbwaga bhoke kwa akina frank akiwa na miez mitatu kisha huyo akasepa zake sijui wapi huko.yote kayaandika mange mwenyewe jana.
Kujitukanisha?Mange yuko sahihi
bora hata wewe mwenzangu umehoji hili.Kujitukanisha?
....teh hee hee...kila atajwapo Frank lazima uwepo!;Humjui frank wewe. ....Mange alimbwaga yule mtoto kwa frank,mtoto akiwa na miezi 3.....frank kamlea mtoto kwa miaka 11,mange kamchukua kukaa nae si chini ya miaka 3....mtoto mwenyewe hana kabisa mapenzi ya mama kwa jinsi mama alivyokuwa anamfanyia na kumtumikisha kama HG. ..na isitoshe frank hakuwa Dj pale clouds bali alikuwa traffic manager,alikuwa yupo safi sana na hata hiyo mimba ni mange ndio alijilengesha maana frank alikuwa anatoka na mariam mnauye kipindi hicho,mange akafanya fitna mpk akatembea na frank ...ngoja niishie hapa maana najua mengi sana ya mange na frank.
Sio desparate tu, yule ana matatizo ya akili na anaelekea kubaya zaidi.bora hata wewe mwenzangu umehoji hili.
Mange jaman anahitaj msaada wa kanseling. nawaambia mimi yuko desperate huyu dada
Alafu alivyo tuntunya anavyojielezea utadhani kuna cha maana anaelezea, kumbe ndio anazidi kujivua nguo.
Nosense
Kanajionaga kajanjaaa,kana akiliii na hakosei ila wengine tuu ndio wabaya.Kuna saa anaendeshwa na egoism,akili zinampaa anaropoka yote kwa hasira,hasira zikipoa anagundua kaharibu anaanza tafuta sababu ati nimekomesha watu leo,kumbe kajikomesha mwenyewe.
Mhhhhh akili hana,laiti angekuwa na akili asingethubutu kutoa maneno makali vile juu ya mzazi mwenzie na mwanae wakati anajua fika inaweza kumsababishia matatizo akazuiwa hata kuwaona watoto wake. Ni mjinga