Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Status
Not open for further replies.
huyu linda ndyo nani tena
[emoji116]
Ni dada yake na richard yule mshindi wa big brother africa. Wana ugomvi wa jadi na mange.ni karne kwa karne
8c25d806f0b41243e70766b01e51d23a.jpg
 
Duuu hili jukwaa hili ,vitu hivi sijui ningevipata wapi ,

Ila kwa swala la mtoto nipo upande wa Mange
 
Mimi siwezi kutukanana na mama wa mwanangu aisee.

Kwa sababu kufanya hivo ni kumtukana mwanangu pia.

Can't do that.
Big up for that nyani, alafu wanatukanana on social media ambapo na mtoto anasoma, seriously!!

Alivyo punguani anamkosoa mzazi mwenzie kwa matusi akidhani ataonekana bora zaidi, kumtusi alokutusi hakukufanyi uwe bora zaidi yake.
Katengeneza maadui nje hakuchoka kaamua kuvuruga ndani mwake sasa!! Too bad.
 
Wewe si una busara yule hajui hilo yeye anaona sifa kuonekana mbabe wa nyuma ya keyboard. Siunajua zile ngoja nionekane siogopi mtu. I feel sorry for her children mama Kama huyu ni lazima ujute
Sipati picha mama yangu angemwita baba yangu 'shoga' enzi za uhai wake.

Nisingemsamehe kabisa aisee.

Mimi nimeshatabiri humu ipo siku huyo dada atakatukana matusi ya nguoni hako kabinti kake.

Na sitashangaa kama na kenyewe kakimtukana na mwishowe kuishia kutukanana tu.

So ratchet!!
 
Sipati picha mama yangu angemwita baba yangu 'shoga' enzi za uhai wake.

Nisingemsamehe kabisa aisee.

Mimi nimeshatabiri humu ipo siku huyo dada atakatukana matusi ya nguoni hako kabinti kake.

Na sitashangaa kama kenyewe kakimtukana na mwishowe kuishia kutukanana tu.

So ratchet!!

Any relation with bipolar disorder?
 
Fluids on the same bed in the same house .... Wow
 
Any relation with bipolar disorder?
It's very possible Bossman.

It's like she can't help herself not to cuss.

There is no honor in the way she behaves. None whatsoever.

Normal decent human beings don't behave like that.

What kinda lesson is she teaching her kids? What kinda example is she showing them?

That it is okay to use such language to anyone whom you quarrel with?

That's the way to resolve problems?

It's too bad and too sad.

So yes, I think her behavior is very consistent with some of those personality and mental health issues.
 
Ipo siku huyo Mange ataanzisha bifu na hako ka binti kake na sitashangaa kabisa akikaita ni kabaya kwa sababu ni keusi.

You watch this space...
Bwa haha hah haha haha hah hah haha[emoji23] [emoji121] mbavu zangu na vile anao wale machotara
 
Hahaaa ee tena alikalishwa geto,mange akachoka akaenda kumbwaga bhoke kwa akina frank akiwa na miez mitatu kisha huyo akasepa zake sijui wapi huko.yote kayaandika mange mwenyewe jana.
Jamani yani Bhoke anafahamu alikuja duniani kwa kupitia chuku chuku za guest?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom