PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji116]huyu linda ndyo nani tena
Ni dada yake na richard yule mshindi wa big brother africa. Wana ugomvi wa jadi na mange.ni karne kwa karne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji116]huyu linda ndyo nani tena
Ni dada yake na richard yule mshindi wa big brother africa. Wana ugomvi wa jadi na mange.ni karne kwa karne
Big up for that nyani, alafu wanatukanana on social media ambapo na mtoto anasoma, seriously!!Mimi siwezi kutukanana na mama wa mwanangu aisee.
Kwa sababu kufanya hivo ni kumtukana mwanangu pia.
Can't do that.
Wewe si una busara yule hajui hilo yeye anaona sifa kuonekana mbabe wa nyuma ya keyboard. Siunajua zile ngoja nionekane siogopi mtu. I feel sorry for her children mama Kama huyu ni lazima ujuteMimi siwezi kutukanana na mama wa mwanangu aisee.
Kwa sababu kufanya hivo ni kumtukana mwanangu pia.
Can't do that.
Sipati picha mama yangu angemwita baba yangu 'shoga' enzi za uhai wake.Wewe si una busara yule hajui hilo yeye anaona sifa kuonekana mbabe wa nyuma ya keyboard. Siunajua zile ngoja nionekane siogopi mtu. I feel sorry for her children mama Kama huyu ni lazima ujute
Sipati picha mama yangu angemwita baba yangu 'shoga' enzi za uhai wake.
Nisingemsamehe kabisa aisee.
Mimi nimeshatabiri humu ipo siku huyo dada atakatukana matusi ya nguoni hako kabinti kake.
Na sitashangaa kama kenyewe kakimtukana na mwishowe kuishia kutukanana tu.
So ratchet!!
Allow me niku PmShe is obsessed with being rich and famous and that has affected her psychologically.
It's very possible Bossman.Any relation with bipolar disorder?
Bwa haha hah haha haha hah hah haha[emoji23] [emoji121] mbavu zangu na vile anao wale machotaraIpo siku huyo Mange ataanzisha bifu na hako ka binti kake na sitashangaa kabisa akikaita ni kabaya kwa sababu ni keusi.
You watch this space...
Hivi Bhoke atajisikiaje akiona matusi wazazi wake wanavyotupiana?
Kuna siku Mange atajitukana mwenyewe.Anayaona. Bhoke yupo insta,nae anatupia vijembe kwa mafumbo
Wewe je?? Ni adui wake pia???Huyu Dada ana mtihani na hii dunia kila pande amezungukwa na maadui hadi watu wake wa karibu ni adui..
Nadhani alizaliwa peke yake na atakufa peke yake. Kwani kwa sasa yupo na nani???Kuna siku Mange atajitukana mwenyewe.
Kuna siku Mange atajitukana mwenyewe.
Nadhani alizaliwa peke yake na atakufa peke yake. Kwani kwa sasa yupo na nani???
Jamani yani Bhoke anafahamu alikuja duniani kwa kupitia chuku chuku za guest?Hahaa keshajitukana kaweka wazi yeye ndio alikua anatoa hela ya guest badala ya frank. Maskin hadi huruma akiwa na hasira anaropoka hata yasiyohusika,akigutuka anafuta yote.
Jamani yani Bhoke anafahamu alikuja duniani kwa kupitia chuku chuku za guest?
MangeKimambiMkuu kama hutojali insta unampata kwa jina gani?