Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Status
Not open for further replies.
Mange hajafanya fair kuanika hayo mambo, hata kama frank ndiyo ameanza angepiga kimya...kujidhalilisha tu mtu gani anagombana na mwanae...ina maana dunia nzima mzuri yeye tu ndiyo hana mapungufu!!! Nataman ningempa ukweli kwenye page yake ila ndiyo doooh achelewi kunianika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi humu wamemfahamu mange kipindi cha uchaguzi,ndo watetezi wake wakuu. Yanamrudia yale yale aliyokua anawaombea vibaya wenzake.
 
Sio kukuanika tu lazima ule na block. Hapendi kuambiwa ukweli.
 
Hahahaaaaa weka mbali na watoto unaogopa kuchambuliwa kama karata.
 
Mange ni chizi yani mtu timamu unawezaje kumuandika namna ile baba wa watoto.
yes mange ni chizi but hata frank pia ni hopeless coz yy ndio aliyeanza kurepot matatizo yao insta. inaonekana walikuwa na malumbano off air lkn mange hakuyaandika kwa nini hawakuishia huko?
huwezi mtusi vile mama wa mwanao mange amefanya kujibu tu lakini aliyeanza ni frank
 

Ngona inogileeeee naona first lady wa Mbeya kalimwaga povu la haja...
 

Asante mkuu kwa ubuyu wenye pilipili, alivyosema Linda nikajua Linda Ikejia yule bloger maarufu wa Nigeria , huyu linda simfahamu... Ni nani hapa bongo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…