Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
IamfrankgongaFrank Gonga Mdoe anatumia jina gani insta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IamfrankgongaFrank Gonga Mdoe anatumia jina gani insta?
Frank Gonga si ndio yule jamaa anaeonekana kwenye video ya Machozi ya lady Jay dee miaka ile?!
Bonge last handsome boy sasa ilikuaje akaenda kuzaa na yule Betina?!
Hapo nimekuelewa mkuu..Kwa mujibu wa Mange jamaa alikuwa dj clouds na yeye Mange alikuwa mtoto wa kishua ndo alimzimia jamaa baada ya kupewa mimba kwa mbezi beach ghorofani alitimuliwa akaenda kuishi kwa jamaa uswazi chumba kimoja akamwachia mtoto wa miezi 3 akaenda kusoma USA then akauri udsm akawa anaishi hostel mtoto yupo kwa jamaa coz asingeweza kuishi nae hostel, pia dingi wa mange hakumtaka mtoto huyo
Daaah! Kwakweli umenifanya nichekeFrank Gonga si ndio yule jamaa anaeonekana kwenye video ya Machozi ya lady Jay dee miaka ile?!
Bonge last handsome boy sasa ilikuaje akaenda kuzaa na yule Betina?!
Hapo nimekuelewa mkuu..
Mange ndio alimpenda jamaa na akaweka nia moyoni lazima nizae na huyu Handsome boy na bila shaka hayo mapenzi yao yalikuwa ya upande mmoja.
Jamaa msingi kiuno.
Betina,anadai jamaa anapukuchuliwa,eti mtandao unaopendwa zaidi daslamaFrank Gonga si ndio yule jamaa anaeonekana kwenye video ya Machozi ya lady Jay dee miaka ile?!
Bonge last handsome boy sasa ilikuaje akaenda kuzaa na yule Betina?!
Haifai kwa matumizi ya binadamuTupeni kidogo basi umbeya wa huko ensta
We hujui kua dokta ni wito....huwezi lazimisha mtu kusoma asicho kipnda hapo ndo utofaut wa sisi wa Africa na wazungu....kila mtu ana talent yakehili sakata la mtoto kama mzazi nasimama upande wa Mange
Usanii unalipa kuliko udaktar....udaktar wenyew utumwa tu.Kwa wanaomjua Frank,ni afadhali mtoto akae na Mange,jamaa ni muuza sura tu-huyu Frank anadai huyu mtoto kusomea udaktari ni taaluma iliyopitwa na wakati muachie awe muimbaji-shuleni huyu mtoto yuko vizuri-sasa leo ati awe mwimbaji-katika dunia ya leo elimu tu itamuokoa huyu mtoto anything else Mange will soon be a grandmother
Humjui frank wewe. ....Mange alimbwaga yule mtoto kwa frank,mtoto akiwa na miezi 3.....frank kamlea mtoto kwa miaka 11,mange kamchukua kukaa nae si chini ya miaka 3....mtoto mwenyewe hana kabisa mapenzi ya mama kwa jinsi mama alivyokuwa anamfanyia na kumtumikisha kama HG. ..na isitoshe frank hakuwa Dj pale clouds bali alikuwa traffic manager,alikuwa yupo safi sana na hata hiyo mimba ni mange ndio alijilengesha maana frank alikuwa anatoka na mariam mnauye kipindi hicho,mange akafanya fitna mpk akatembea na frank ...ngoja niishie hapa maana najua mengi sana ya mange na frank.Kwa wanaomjua Frank,ni afadhali mtoto akae na Mange,jamaa ni muuza sura tu-huyu Frank anadai huyu mtoto kusomea udaktari ni taaluma iliyopitwa na wakati muachie awe muimbaji-shuleni huyu mtoto yuko vizuri-sasa leo ati awe mwimbaji-katika dunia ya leo elimu tu itamuokoa huyu mtoto anything else Mange will soon be a grandmother