Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Status
Not open for further replies.
Frank Gonga si ndio yule jamaa anaeonekana kwenye video ya Machozi ya lady Jay dee miaka ile?!

Bonge last handsome boy sasa ilikuaje akaenda kuzaa na yule Betina?!

Kwa mujibu wa Mange jamaa alikuwa dj clouds na yeye Mange alikuwa mtoto wa kishua ndo alimzimia jamaa baada ya kupewa mimba kwa mbezi beach ghorofani alitimuliwa akaenda kuishi kwa jamaa uswazi chumba kimoja akamwachia mtoto wa miezi 3 akaenda kusoma USA then akauri udsm akawa anaishi hostel mtoto yupo kwa jamaa coz asingeweza kuishi nae hostel, pia dingi wa mange hakumtaka mtoto huyo
 
Hapo nimekuelewa mkuu..

Mange ndio alimpenda jamaa na akaweka nia moyoni lazima nizae na huyu Handsome boy na bila shaka hayo mapenzi yao yalikuwa ya upande mmoja.

Jamaa msingi kiuno.
 
Frank Gonga si ndio yule jamaa anaeonekana kwenye video ya Machozi ya lady Jay dee miaka ile?!

Bonge last handsome boy sasa ilikuaje akaenda kuzaa na yule Betina?!
Betina,anadai jamaa anapukuchuliwa,eti mtandao unaopendwa zaidi daslama
 
Kwa wanaomjua Frank,ni afadhali mtoto akae na Mange,jamaa ni muuza sura tu-huyu Frank anadai huyu mtoto kusomea udaktari ni taaluma iliyopitwa na wakati muachie awe muimbaji-shuleni huyu mtoto yuko vizuri-sasa leo ati awe mwimbaji-katika dunia ya leo elimu tu itamuokoa huyu mtoto anything else Mange will soon be a grandmother
 
Huyu frank si ndio yule alikuwa karibu sana na yule jamaa marehemu sasa somebody kahama?
 
Kwa wanaomjua Frank,ni afadhali mtoto akae na Mange,jamaa ni muuza sura tu-huyu Frank anadai huyu mtoto kusomea udaktari ni taaluma iliyopitwa na wakati muachie awe muimbaji-shuleni huyu mtoto yuko vizuri-sasa leo ati awe mwimbaji-katika dunia ya leo elimu tu itamuokoa huyu mtoto anything else Mange will soon be a grandmother
Usanii unalipa kuliko udaktar....udaktar wenyew utumwa tu.
 
from @faizaally_ - Kwa hiyo mange umeamua kunichokoza live mange hata Kama unapigania nchi haiwezekani kila mtu awe adui yako! Kuna sehemu unalazimisha uadui kwa nguvu nyingi sana ! Kwa nn usi focus tu kwenye kutetea nchi ? wewe unataka mabifu makubwa madogo yote yawe yako ? sio hivyo sioni kama sawa kummention sugu ! Hiyo ulikua una niambia mm tu na si sawa - ni kweli nililia kwa mapenzi Yangu lkn sikulia ili nichekwe au kukebehiwa ni mapenzi tu by the way wala sikua nalia kwa sababu ya hela... sugu mpaka Leo bado Hana hela japo najua soon ataanza kupata hela hotel itakapo funguliwa labda ! Kama wewe na wengine mnazani nilikua na lia kwa sababu ya hela mankosea sana ! Sugu kanituka na gari 2 na nyumba Yangu wakati yeye hata kujenga haja jenga! hata yeye anajua sio kweli maana alikua Hana hela za kunihonga maana hata nyumba na thamani za ndani tulijenga kwa mkopo na kuuza magari,Roli na BMW tulikua tunaishi kwa kusavaivu tu maana hata mshahara alikua anapokea laki 3 tu kwa kuwa alichukua mkopo! Na nimekutana nae hela za mkopo zilikua zimeshaisha so nataka ujue nilikua nalia kumkosa yeye si pesa ! Tena nimemuacha mzugu aliekua amenivisha pete na kunipa hela na holiday za maana ! So koma kunimention na issue za matozi wako Hawa kina machozi sijui nani issue zetu hazifanani unaongelea watu tofauti sana ! We mama najua maisha yamekuchapa na yanatuchapa wote sasa hebu tafuta namna ya kudili na issue zako sio kuchoma watu ili wewe ujisikie vizuri by the way Kama vipi piga danga huko marekani uweke maisha sawa mbona kazi unaijua na uchi hauzeeki kwa nn usitafutia kipato kama kuna nafasi ili upunguze kuchukia watu !u real need some good dick and good food kupunguza chuki kwa watu watu ambao hata hawakuwazi ! Hebu kama vipi naomba kuanzia Leo nikome mm sitaki kuwa adui yako sawa mama ??????? And by the watu wote Hawawezi kuona maono yako just in case labda ni kwa sababu nimempost Mh rais
 
LINDA NAE KAWEKA COMMENT YAKE

MAMA UWA AKIMBIWI MAMA NI MAMA ULIMKIMBIA WAKO NA WEWE UMEKIMBIWA AIBUUUUUUU IT HAS NOTHING TO DO WITH THE DAD. UMALAYA NA KUZURULA NA ROLEX but KWA nadra kanusa nuksi zako nae KASEPA....UNAJIUZA HUKU BOKHE AKIWA BABYSITTER UMALAYA UMEKUPONZA LAITI UNGEKUWA UNAMTUNZA NA KUMPA MAPENZI HATA UNGEKUWA MALAYA WA 24/7. HASINGE KUKIMBIA MATESO YAKO TANGU ULIPO MZAA ULIMTUPA NOW SHE IS ALL GROWN. I used to tell you your daughter missed your love and care at her very mature life which it's the most important yani the first 10 yrs. ulidhani nakuchamba tu LEO KAKUSUTA HUKUMNYONYESHA MAZIWA. " HIYO GUILT INAKUTAFUNA VIPI" ALAFU ULIVO KUWA NA LAANA UMEWEKA ADHARANI UKIZANI UNAMUUMBUWA BABA MTOTO AISEE VIBAO VYA MWENYEZI MUNGU VINAKUTANDIKA UNAROPOKA 24/7 UNAELEZA EVRYTHING MWENYEWE ULIKUWA UNALIPIA GUEST HOUSE UTOMBWE . SABABU HAMNA ALIEKUTAKA IKABIDI ULIPIE ILI UKATOMBWE KI PASSION KIDOGO MANA ULIJIUZA SANA AISEE ANGALAU UPATE PASSIONATE SEX IKABIDI UHONGE SIMU NA KULIPIA GUEST . WAKATI WENZIO TUNAVUNJA NDOA ZA WATU TENA NDOA IMARA NA HUKU TUKIWA TUMEZAA WEWE ULIKUWA KIGOLI HA HA HA HAAAAAA UKAONA BORA UKAJIUZE DUBAI BAADA YA KUMALIZA MABAHALIA KWA 3SOME MPAKA **** ULILAMBA YARK MENO YAMEKUOZA NA SASA UMERUDI KULE KULE DANGURO.COM MALAYA MCHAFU MWENYE NUKSI OOOO WAZUNGU WAZURI TOBAAAAA SO NA UZURI WAO WOTE BUT UMEACHWA NUXI YAKO KIBOKO INANUKA MPAKA ATLANTA KWENYE MA MANSION UNAYOYAOTA UKABAKI KULALA KWENYE NGAZI NA LOBBY.
 
Kwa wanaomjua Frank,ni afadhali mtoto akae na Mange,jamaa ni muuza sura tu-huyu Frank anadai huyu mtoto kusomea udaktari ni taaluma iliyopitwa na wakati muachie awe muimbaji-shuleni huyu mtoto yuko vizuri-sasa leo ati awe mwimbaji-katika dunia ya leo elimu tu itamuokoa huyu mtoto anything else Mange will soon be a grandmother
Humjui frank wewe. ....Mange alimbwaga yule mtoto kwa frank,mtoto akiwa na miezi 3.....frank kamlea mtoto kwa miaka 11,mange kamchukua kukaa nae si chini ya miaka 3....mtoto mwenyewe hana kabisa mapenzi ya mama kwa jinsi mama alivyokuwa anamfanyia na kumtumikisha kama HG. ..na isitoshe frank hakuwa Dj pale clouds bali alikuwa traffic manager,alikuwa yupo safi sana na hata hiyo mimba ni mange ndio alijilengesha maana frank alikuwa anatoka na mariam mnauye kipindi hicho,mange akafanya fitna mpk akatembea na frank ...ngoja niishie hapa maana najua mengi sana ya mange na frank.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom