Sio desparate tu, yule ana matatizo ya akili na anaelekea kubaya zaidi.
Ndio tatizo la show offs za kipuuzi na kuishi maisha yasiyo yako, anajikuta inabidi atumie nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa she is welloff. Ndio mpaka anawehuka sasa. Kajisahau kabisaa kuwa ni mama na anatakiwa abehave, unamfundisha mtoto kufanya B wakati anakushuhudia wewe mama yake kila siku ukifanya C.
Unapoamua kuwa mzazi basi unapaswa kuwa mzazi kwelikweli na sucrifices za kutosha.
Washauri wake ni followers wake wa insta ambao wanafanana akili, wht do you expect??
Unachomkandia nacho huyu binti, wala hukielewi. Nikikuuliza kaehuka kumlazimisha mtoto wake kusoma utanipa jibu gani? Wewe mtoto wake akikataa shule unayomwona anafanya vizuri akasema anataka kucheza ngoma au kujiunga na shilole, ukamwambia hapana, au ukamwambia sawa mwanagu, ni wakati gani utakuwa mwehu?
Billa shaka anayemwona huyu binti vibaya, hana analolifahamu, hana exposure yoyote, haan elimu kama ilie kaya ilyoteua Zero kuwa waziri wa elimu, hajui thamani ya elimu au wale kina buhari.
Kwa heri