Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Wewe ni bwege na hujaombwa ushauri....
 
Battle started. Ila wa dar wazembe sana. Na ndio wanaolisambaza sana jina la kibamia. Bila ya wao kujiangalia mahandaki yao.

Mi mzamiaji tu, wahusika msitoke povu
[emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji40] [emoji40]
 
hahaaaaaa

hamjawahi kutamani kuukana uraia wenu kama ilivyo kwa blaza hapa
Shunie
Witnes
Inna
Sakayo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…