Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

mshana jr toka jana niko dar kwa muda wote wa kazi ntakuwa dar es salaam sasa nambie mimi nitapambana na wa dar es salaam kwakuwa nimetoka mikoani au nitakutana na wamikoani wapambane na mimi shauri.
Mmh ndugu yangu.. Wa mjini hawakawii kukurekodi.. Hawakawii kukuletea mchepuko ukatambulishwa kama binamu... Hawakawii kukuomba simati foni na kodi au pesa ya kusukia sangita.... Wa mikoani nao hachelewi kukwambia mpeleke feri akale udaga na pweza
 
Hahahahahahaaaaa.

Awe makini anaweza kukabidhi ufunguo wa gari lake maana alisema atakuja na gari lake
 
Kazi kazi tuuuu
7ccb984e3caabaed8ab8e2ef45317b75.jpg
 
Inatia huruma sana na pengine labda ni ufaa kwenye utosi..sababu inakuaje mwanaume unaejitambua kuandika uzi wa namna hii??

Mwanaume unaejitambua Unakuwaje na gallery yenye picha kama unazopost wewe..??

Unaweza ukakana uraia wako na kulia kabisa kuona kuna wachangiaji..rubbish kabisa!!
Haaaaa haaaaa....uwiii my ribs
 
Demu hata kuongea kwa pozi hajui; aaaaaargh! Badala ya kusema "bwana chige nini, anh...!" Atasema "we chige, ndo limchezo gani hilo?"

Ahsanteni kwa kuja lakini Dar hakuna mashamba na kwahiyo umuhiumu wenu mjini ni zero... kwahiyo mnaweza kurudi tu nyumbani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] limchezo gani hilo...!!! Mwambie hii ni katitu mumie
 
Back
Top Bottom