Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

mshana jr toka jana niko dar kwa muda wote wa kazi ntakuwa dar es salaam sasa nambie mimi nitapambana na wa dar es salaam kwakuwa nimetoka mikoani au nitakutana na wamikoani wapambane na mimi shauri.
Mmh ndugu yangu.. Wa mjini hawakawii kukurekodi.. Hawakawii kukuletea mchepuko ukatambulishwa kama binamu... Hawakawii kukuomba simati foni na kodi au pesa ya kusukia sangita.... Wa mikoani nao hachelewi kukwambia mpeleke feri akale udaga na pweza
 
Hahahahahahaaaaa.

Awe makini anaweza kukabidhi ufunguo wa gari lake maana alisema atakuja na gari lake
 
Haaaaa haaaaa....uwiii my ribs
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] limchezo gani hilo...!!! Mwambie hii ni katitu mumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…