Tafadhali kuna ile hoteli pale juu ya stendi ya tanga ambapo mabasi husimama wale chakula....Hivi ni sifa au makusudiiiii
Kitumbua wanauza buku, sambusha wanauza 2000. Wali 8000 hizi bei sumatra hawazioni au vipi...
Kwa viwango vya barabara zetu ni hatari kukimbiza gari kwa speed zaidi ya 80kph.Kumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA..?
Binafsi nimeisha safiri nayo KIDIA ONE, BM na leo hii namalizia na EXTRA LUXURY COACH.
Hapa seafari imeanza saa 11:55 alfajiri tukiwa tumetanguliwa na mabasi karibu yote yanayoanzia safari zao nje ya stand ya DAR EXPRESS kwa wanao pajua Arusha. Kufika 12:25 tuko KIA EXTRA LUXURY COACH ikiwa umeisha zipita gari zote. Gari inakimbia hatari sana inaendeshwa na chalii kamoja kayankii fulani ni noma sana.
Wacha nisubiri nione DSM nitatoboa saa ngapi kwa KIDIA ONE nilifika saa 10:15 kwa BM nilifika saa 10:50 kwa EXTRA LUXURY COACH nitaleta mrejesho jioni ila usisahau kunijulia hali maana wenda nikapitiliza mbinguni maana si kwa speed/mbio hizi za Extra Luxury ni NOMA MNO.
LOVE YOU ALL JF CHIT-CHAT[emoji589][emoji589][emoji589]
Hii ni sifa? Poleni sana.Tunaisaka same kwa hasira kinoma...! Chuma kimeshika moto chalii yangu(suka) kakiwasha hasa.
Hivi chakito bado ipo?Wanajua kila wanakojificha wazee wa kumulika
Nadhani kwa sasa safari zake ni Tanga na maeneo ya maporini.Hivi chakito bado ipo?
Hakuna abiria yeyote aliyetapika hadi muda huu?Tunaisaka same kwa hasira kinoma...! Chuma kimeshika moto chalii yangu(suka) kakiwasha hasa.
Usisahau kutu update pia ukiwa hospital au kwa Sir GodKumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA..?
Binafsi nimeisha safiri nayo KIDIA ONE, BM na leo hii namalizia na EXTRA LUXURY COACH.
Hapa seafari imeanza saa 11:55 alfajiri tukiwa tumetanguliwa na mabasi karibu yote yanayoanzia safari zao nje ya stand ya DAR EXPRESS kwa wanao pajua Arusha. Kufika 12:25 tuko KIA EXTRA LUXURY COACH ikiwa umeisha zipita gari zote. Gari inakimbia hatari sana inaendeshwa na chalii kamoja kayankii fulani ni noma sana.
Wacha nisubiri nione DSM nitatoboa saa ngapi kwa KIDIA ONE nilifika saa 10:15 kwa BM nilifika saa 10:50 kwa EXTRA LUXURY COACH nitaleta mrejesho jioni ila usisahau kunijulia hali maana wenda nikapitiliza mbinguni maana si kwa speed/mbio hizi za Extra Luxury ni NOMA MNO.
LOVE YOU ALL JF CHIT-CHAT[emoji589][emoji589][emoji589]
Kweli mkuu...!Kwa viwango vya barabara zetu ni hatari kukimbiza gari kwa speed zaidi ya 80kph.
Ubishi wa kushindanisha magari yanayokimbia zaidi kuliko mengine, ni ubishi wa kizamani sana, (ningesema ni wa kishamba , sitaki kuonyesha dharau )
Ni ubishi uliozalisha ajali nyingi za magari na kisha kusababisha vifo, ulemavu na hasara zinginezo.
Hii post haina afya.
Mwambie konda aweke wimbo wa Kamanda wa Daz Nundaz.Hahahah! Wameambiwa moshi wasile wala kunywa kusimama ni korogwe.
Tumeishapita same dakika 10 zimepita
Hawana mabasi mapya hivyo lazima nguvu iende huko maporini.Kweli maana naona wanakwenda buko sijui katesh..