bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
- Thread starter
- #21
Hotel zote za njiani Tanzania ni mahalamia wote..!
Nadhani ni miradi ya wenye mabasi maana maeneo ya miji hawasimami mnapelekwa huko chabisi mnachinjwa. SUMATRA wao wamepiga usingizi wa pono tu
Nadhani ni miradi ya wenye mabasi maana maeneo ya miji hawasimami mnapelekwa huko chabisi mnachinjwa. SUMATRA wao wamepiga usingizi wa pono tu
Tafadhali kuna ile hoteli pale juu ya stendi ya tanga ambapo mabasi husimama wale chakula....Hivi ni sifa au makusudiiiii
Kitumbua wanauza buku, sambusha wanauza 2000. Wali 8000 hizi bei sumatra hawazioni au vipi...