Siku hizi mabasi hayakimbizwi kama ilivyokuwa zamani.
Pamoja na "kusoma minara au kununua" lakini bado basi hazizidi 120kph japo zinauwezo kwa kuzidi mwendokasi huo.
Enzi za mwendokasi bila udhibiti mabasi kutembea 140-160kph sehemu zilizokaa vizuri ilikuwa kawada sana.
Nitatoa mfano wa mabasi michache tu nayo ni:-
1. Chiku (Volvo), Dar Songea
2. Zainabu (Volvo) Dar Songea
Haya mabasi kwa saa 11 yalikuwa yanafika Songea.
3. Bazuu (Isuzu) Dar - Arusha - Namanga, ilikuwa hatari sana, mashabiki hadi walikuwa wanazuia njia ili lipite kwanza ndio nanmabasi mengine yapite pale Kisutu Stendi, toka yake sasa na mwendo wake njiani ilikuwa hatari sana...
4. Hood (fulani hivi moja nimesahau namba zake) Arusha - Mbeya, Kuna siku nikiwa kwenye SABCO maeneo ya IYOVI, tulipitwa kama hatuendi vile, yetu ilikuwa inasoma 110kph na kona zile, dah, hatari sana..
5. Abood (fulani hivi moja nayo nimesahau namba zake), Dar - Tunduma, hili basi nimeshawahi "kuweka mkia" nyuma yake kwa kama dk 20 hivi Daraja mbili hadi ruaha mbuyuni, kuna wakati tulidumu kwa 160kph kwa dakika kadhaa...
Bila kusahau Coaster fulani hivi ya Dar - Moro - Dar ilikuwa inaitwa Scaba Scuba. Ndiye coaster pekee ikiyokuwa inafanya tripu 3 (kwa sita) kwa siku moja.
Siku hizi huwezi kusifia kwamba kuna ligi ilhali mabasi yamedhibitiwa chini ya 100kph. Ligi zilikuwepo wakati huo full kujiachia, na 'unyongaji' pumpu.
___
Mwendo kasi unaua, tumeshuhudia ajali nyingi mbaya zilizosababishwa na mwendo kasi.
"Ving'amuzi" vikisimamiwa vizuri vinasaidia sana kupunguza uendeshaji wa spidi kupitiliza.
mkuu umeongelea mambo mengi ambayo kizazi hiki kimewapita,kipindi hicho ina ina heshima na adabu,hiyo coaster ya Dar to Moro ,ilikuwa moto wa kuotea mbali,na nilibahatika kupanda scandanavian kwenda Lusaka,Unaanza pale stendi yake (KAMATA),border saa 4pm,mnavuka mpaka!!!,alfajiri ni Good morning Lusaka,siku hizi Taqwa inalala border ,shameSiku hizi mabasi hayakimbizwi kama ilivyokuwa zamani.
Pamoja na "kusoma minara au kununua" lakini bado basi hazizidi 120kph japo zinauwezo kwa kuzidi mwendokasi huo.
Enzi za mwendokasi bila udhibiti mabasi kutembea 140-160kph sehemu zilizokaa vizuri ilikuwa kawada sana.
Nitatoa mfano wa mabasi michache tu nayo ni:-
1. Chiku (Volvo), Dar Songea
2. Zainabu (Volvo) Dar Songea
Haya mabasi kwa saa 11 yalikuwa yanafika Songea.
3. Bazuu (Isuzu) Dar - Arusha - Namanga, ilikuwa hatari sana, mashabiki hadi walikuwa wanazuia njia ili lipite kwanza ndio nanmabasi mengine yapite pale Kisutu Stendi, toka yake sasa na mwendo wake njiani ilikuwa hatari sana...
4. Hood (fulani hivi moja nimesahau namba zake) Arusha - Mbeya, Kuna siku nikiwa kwenye SABCO maeneo ya IYOVI, tulipitwa kama hatuendi vile, yetu ilikuwa inasoma 110kph na kona zile, dah, hatari sana..
5. Abood (fulani hivi moja nayo nimesahau namba zake), Dar - Tunduma, hili basi nimeshawahi "kuweka mkia" nyuma yake kwa kama dk 20 hivi Daraja mbili hadi ruaha mbuyuni, kuna wakati tulidumu kwa 160kph kwa dakika kadhaa...
Bila kusahau Coaster fulani hivi ya Dar - Moro - Dar ilikuwa inaitwa Scaba Scuba. Ndiye coaster pekee ikiyokuwa inafanya tripu 3 (kwa sita) kwa siku moja.
Siku hizi huwezi kusifia kwamba kuna ligi ilhali mabasi yamedhibitiwa chini ya 100kph. Ligi zilikuwepo wakati huo full kujiachia, na 'unyongaji' pumpu.
___
Mwendo kasi unaua, tumeshuhudia ajali nyingi mbaya zilizosababishwa na mwendo kasi.
"Ving'amuzi" vikisimamiwa vizuri vinasaidia sana kupunguza uendeshaji wa spidi kupitiliza.
Braza basi likifikia speed 100 ni mshale..! Gari kubwa siyo kama ndogo jamaaa yangu 80 tu ukipishana nalo ni noma
Kuna hatari ya kwenda peponi ghafla aisei
DRE?Dereva mzee mmoja kama sikosei anaitwa Mushi, aisei tulikuwa tunapitwa vibaya mno,hadi costa aisei.
Ufike mbinguni salama mkuu!!Kumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA..?
Binafsi nimeisha safiri nayo KIDIA ONE, BM na leo hii namalizia na EXTRA LUXURY COACH.
Hapa seafari imeanza saa 11:55 alfajiri tukiwa tumetanguliwa na mabasi karibu yote yanayoanzia safari zao nje ya stand ya DAR EXPRESS kwa wanao pajua Arusha. Kufika 12:25 tuko KIA EXTRA LUXURY COACH ikiwa umeisha zipita gari zote. Gari inakimbia hatari sana inaendeshwa na chalii kamoja kayankii fulani ni noma sana.
Wacha nisubiri nione DSM nitatoboa saa ngapi kwa KIDIA ONE nilifika saa 10:15 kwa BM nilifika saa 10:50 kwa EXTRA LUXURY COACH nitaleta mrejesho jioni ila usisahau kunijulia hali maana wenda nikapitiliza mbinguni maana si kwa speed/mbio hizi za Extra Luxury ni NOMA MNO.
LOVE YOU ALL JF CHIT-CHAT[emoji589][emoji589][emoji589]
mkuu hizi gari za kichina ni nzuri katika body na comfortability tu ila mambo mengine tuachie scania,
vyombo vya uhakika hapo miaka ya nyuma na mpaka leo niSiku hizi mabasi hayakimbizwi kama ilivyokuwa zamani.
Pamoja na "kusoma minara au kununua" lakini bado basi hazizidi 120kph japo zinauwezo kwa kuzidi mwendokasi huo.
Enzi za mwendokasi bila udhibiti mabasi kutembea 140-160kph sehemu zilizokaa vizuri ilikuwa kawada sana.
Nitatoa mfano wa mabasi michache tu nayo ni:-
1. Chiku (Volvo), Dar Songea
2. Zainabu (Volvo) Dar Songea
Haya mabasi kwa saa 11 yalikuwa yanafika Songea.
3. Bazuu (Isuzu) Dar - Arusha - Namanga, ilikuwa hatari sana, mashabiki hadi walikuwa wanazuia njia ili lipite kwanza ndio nanmabasi mengine yapite pale Kisutu Stendi, toka yake sasa na mwendo wake njiani ilikuwa hatari sana...
4. Hood (fulani hivi moja nimesahau namba zake) Arusha - Mbeya, Kuna siku nikiwa kwenye SABCO maeneo ya IYOVI, tulipitwa kama hatuendi vile, yetu ilikuwa inasoma 110kph na kona zile, dah, hatari sana..
5. Abood (fulani hivi moja nayo nimesahau namba zake), Dar - Tunduma, hili basi nimeshawahi "kuweka mkia" nyuma yake kwa kama dk 20 hivi Daraja mbili hadi ruaha mbuyuni, kuna wakati tulidumu kwa 160kph kwa dakika kadhaa...
Bila kusahau Coaster fulani hivi ya Dar - Moro - Dar ilikuwa inaitwa Scaba Scuba. Ndiye coaster pekee ikiyokuwa inafanya tripu 3 (kwa sita) kwa siku moja.
Siku hizi huwezi kusifia kwamba kuna ligi ilhali mabasi yamedhibitiwa chini ya 100kph. Ligi zilikuwepo wakati huo full kujiachia, na 'unyongaji' pumpu.
___
Mwendo kasi unaua, tumeshuhudia ajali nyingi mbaya zilizosababishwa na mwendo kasi.
"Ving'amuzi" vikisimamiwa vizuri vinasaidia sana kupunguza uendeshaji wa spidi kupitiliza.
ka vitu vya Sawaya na Dar express wale watu ni hatari sana maana wanavitu vya uhakika.KLM ananamba A ila namba DVijana wanaangalia muonekano wa nje wa bus
Mimi scania Ndio chaguo langu hata tuchelewe kufika
Kufa sio adhabu chalii yangu, kuna issue zimekaa vibaya zaidi ya kufa. Umeshamuona mtu aliyevunjika uti wa mgongo?Hahahahh! Duniani muda hautoshi kwa kila kitu mkuu ata muda wa kuishi ni kidogo pia, ebola, malaria, ukimwi vyote vinaua mjomba.
chakito alikichafuaaaaSiku hizi bus zinafika mda mmoja kutokana na mda zilizotoka stand..bus hazikimbii tena dereva anaeweza kucheza na mda ndio anawatangulia wenzie kidogo tu.
Enzi za kina
Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian video coach
Hapa ndio palikua na ligi hatari sana
chakito alikichafuaaaa
wale wahuni wote na wapiga debe ilikuwa ni shangwee kila akifikaa, watu walikuwa wanabet sana haa ahaa maisha banaaaSana sana kazibeba sana zile elfu 50 za pale stand ya moshi
Hatari sana mkuu. Mwendo kasi una raha sana. Mengine tumwachie Mungu wetu atatulinda InshaallahSiku hizi mabasi hayakimbizwi kama ilivyokuwa zamani.