Allysaid bhana from mwanza wacha kabisaSiku hizi bus zinafika mda mmoja kutokana na mda zilizotoka stand..bus hazikimbii tena dereva anaeweza kucheza na mda ndio anawatangulia wenzie kidogo tu.
Enzi za kina
Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian video coach
Hapa ndio palikua na ligi hatari sana
vyombo vya uhakika hapo miaka ya nyuma na mpaka leo ni
KLM
Dar ex press
Buffalo
Mengine yalikuwepo ila now ushindani wa kibiashara umeyaondoa relini ama yamekuwa hali mbaya
Ngorika
happy nation
n.k
Hahahhah! Bagamoyo moja hiyo..
Aise mmewahi fika, itabidi siku nikija arusha nipande hilo basi. Basi nyingi huwa zinaingia dar saa 12 kasoro pengine saa 12 route ya Arusha- Dar es salaamChuma tegeta hicho...[emoji122][emoji122][emoji122]
Ndugu, hivi ukubwa wa tairi la bajaji ni sawa na tairi la basi? Wanaweza kwenda umbali sawa kwa mzunguko mmoja?Wengi wanaamini hivyo, lakini nikupanue mawazo, ni kwamba hata bajaji ikiwa 60kph na basi likikiwa 60kph na wapo sambamba, hakuna atakayemuacha mwenzie
Speed = distance / time
Wote mkiwa 80kph hamtopitana ilimradi mazingira mengine yawe sawa.
Ila kuna suala la kufikia mwendokasi kadhaa kwa muda kadhaa hii ni ishu nyingine.
Nataka kuanzia leo uondoe akilini eti kwa mfano 'lori likiwa 80kph ni mwendo mkali kuliko corolla ikiwa 100kph (labda kama lori ni inasoma kwa mile per hour (mph)
Kama hujaelewa utaelewesha zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna abiria yeyote aliyetapika hadi muda huu?
Nafahamu kuwa ajali hutokea hata kwenye foleni au parking, lakini unapoambiwa kuwa mwendo kasi si mzuri, anayekwambia hulenga pia KUPUNGUZA CASUALTIES ENDAPO AJALI ITATOKEA.Mwendokasi ni sababu mojawapo ya sababu lukuki za ajali rafiki.
Tafadhali kuna ile hoteli pale juu ya stendi ya tanga ambapo mabasi husimama wale chakula....Hivi ni sifa au makusudiiiii
Kitumbua wanauza buku, sambusha wanauza 2000. Wali 8000 hizi bei sumatra hawazioni au vipi...
Siku hizi hakuna bus linalokimbia sana wanunue tochi kidogo basi.Enzi za Air Msae-Dar express saa 7 mchana upo ubungo au moshi.
Hivi chakito bado ipo?