Wengi wanaamini hivyo, lakini nikupanue mawazo, ni kwamba hata bajaji ikiwa 60kph na basi likikiwa 60kph na wapo sambamba, hakuna atakayemuacha mwenzie
Speed = distance / time
Wote mkiwa 80kph hamtopitana ilimradi mazingira mengine yawe sawa.
Ila kuna suala la kufikia mwendokasi kadhaa kwa muda kadhaa hii ni ishu nyingine.
Nataka kuanzia leo uondoe akilini eti kwa mfano 'lori likiwa 80kph ni mwendo mkali kuliko corolla ikiwa 100kph (labda kama lori ni inasoma kwa mile per hour (mph)
Kama hujaelewa utaelewesha zaidi.