Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

Siku hizi bus zinafika mda mmoja kutokana na mda zilizotoka stand..bus hazikimbii tena dereva anaeweza kucheza na mda ndio anawatangulia wenzie kidogo tu.

Enzi za kina

Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian video coach

Hapa ndio palikua na ligi hatari sana
Allysaid bhana from mwanza wacha kabisa
 
Hahahah! Happy Nation wamenibembeleza mno nipande gari yao leo nikachomoa katakaga.
vyombo vya uhakika hapo miaka ya nyuma na mpaka leo ni
KLM
Dar ex press
Buffalo
Mengine yalikuwepo ila now ushindani wa kibiashara umeyaondoa relini ama yamekuwa hali mbaya
Ngorika
happy nation
n.k
 
Wengi wanaamini hivyo, lakini nikupanue mawazo, ni kwamba hata bajaji ikiwa 60kph na basi likikiwa 60kph na wapo sambamba, hakuna atakayemuacha mwenzie

Speed = distance / time

Wote mkiwa 80kph hamtopitana ilimradi mazingira mengine yawe sawa.

Ila kuna suala la kufikia mwendokasi kadhaa kwa muda kadhaa hii ni ishu nyingine.

Nataka kuanzia leo uondoe akilini eti kwa mfano 'lori likiwa 80kph ni mwendo mkali kuliko corolla ikiwa 100kph (labda kama lori ni inasoma kwa mile per hour (mph)

Kama hujaelewa utaelewesha zaidi.
Ndugu, hivi ukubwa wa tairi la bajaji ni sawa na tairi la basi? Wanaweza kwenda umbali sawa kwa mzunguko mmoja?
 
Sumatra na vyakula wapi na wapi?
Tafadhali kuna ile hoteli pale juu ya stendi ya tanga ambapo mabasi husimama wale chakula....Hivi ni sifa au makusudiiiii
Kitumbua wanauza buku, sambusha wanauza 2000. Wali 8000 hizi bei sumatra hawazioni au vipi...
 
Hakuna kitu huko ....ligi siku hizi ipo dar to mbeya...tunduma na swanga ....pamoja na dar mwanza
 
Back
Top Bottom