Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

Kumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA..?

Binafsi nimeisha safiri nayo KIDIA ONE, BM na leo hii namalizia na EXTRA LUXURY COACH.

Hapa seafari imeanza saa 11:55 alfajiri tukiwa tumetanguliwa na mabasi karibu yote yanayoanzia safari zao nje ya stand ya DAR EXPRESS kwa wanao pajua Arusha. Kufika 12:25 tuko KIA EXTRA LUXURY COACH ikiwa umeisha zipita gari zote. Gari inakimbia hatari sana inaendeshwa na chalii kamoja kayankii fulani ni noma sana.

Wacha nisubiri nione DSM nitatoboa saa ngapi kwa KIDIA ONE nilifika saa 10:15 kwa BM nilifika saa 10:50 kwa EXTRA LUXURY COACH nitaleta mrejesho jioni ila usisahau kunijulia hali maana wenda nikapitiliza mbinguni maana si kwa speed/mbio hizi za Extra Luxury ni NOMA MNO.

LOVE YOU ALL JF CHIT-CHAT[emoji589][emoji589][emoji589]
Naona unawahi kutangulia japo tunakupenda sana lakini speed hii imesababisha utangulie!!
 
Hahahhah! Dar express wamepitwa sijui ata wako wapi, tumeshika kijiti nani atupokonye chuma YOUTONG ila mwendo wake ni noma.
mkuu hizo ni kampuni zinaweza shindana zenyewee maana ni zakawaida sana kunavyuma ambavyo hi uhakika vitu scania. sasa hizo zongtong na youtong haziwezi ona ndani kabisa kinachokwamisha ni tochi na sikuhizi sifa ni kufika salama si mapema ka ilivyookuwa hapo nyuma.
 
Hapa tunatafuna mitandambalale ya Same, inaboa kinoma chuma kimekolea hatari ila unaona kama gari haikimbii. Niko mbele nachungulia mshale unaenda 100 na na kurudi.
 
Hapa tunatafuna mitandambalale ya Same, inaboa kinoma chuma kimekolea hatari ila unaona kama gari haikimbii. Niko mbele nachungulia mshale unaenda 100 na na kurudi.
speed meter ya mabasi ni zaidi ya 120km?hr lazima zitumike,Arusha to Dar ni kama 650km ,huu ni mwendo wa masaa 8tu;tatizo letu bado sana tumo in a pithole country;speed sio chanzo pekee au kikubwa cha ajali ,kwa nchi yetu chanzo kikubwa ni miundo mbinu duni,magari kutokuwa na hati bora ya kuruhusiwa kuwa barabarani,bad training ya madereva wetu,sijui kama wana PDP ya kuwaruhusu kuendesha magari haya ya abiria,
 
Gari ni BM Coach na Marangu Coach kwa sasa. Hao wengine ni takataka tu ukiachana na Dar Lux pekee.

Jana nmeanza trip Dar 0630 mpaka 1730 niko Moshi mjini. That was Marangu Coach.

BM alianza trip 0600 na amewasili 1700 Moshi mjini japo tulikutana hotelini.
 
Attachments

  • IMG_20191115_093144.jpg
    IMG_20191115_093144.jpg
    45.5 KB · Views: 4
Aiseee halafu huu ushindani upo hata kwa mabasi ya Dar - Mbeya kama Sauli, Al Saedy na Imani Plus siku hiyo tunatoka Mbeya kuja Dar nilipanda Sauli yaani ilikuwa ni mashindano tu na hayo mabasi mawili

Kwanza nasikia mwenye Imani Plus alishamfukuza dereva wake eti kwanini alipitwa na Sauli kwahiyo siku hiyo aliendesha basi lake yeye mwenyewe kutoka Mbeya hadi Dar ili awe wa kwanza kufika Ubungo

Ila aibu yake akaishia kuwa wa tatu maana ilitangulia Al Saedy ikafuata Sauli halafu ndiyo hiyo Imani Plus aise sijui alijisikiaje maana kuanzia Kibaha yeye ndiyo alishika nafasi ya kwanza akawa anahakikisha hakuna basi inayompita ila alikuja kupitwa kizembe pale Mbezi

Lakini mwisho wa siku nikawaelewa tu kuwa yote hiyo ni katika kujitangazia jina na kugombea soko na kwa sasa basi inayosifika kwa kuwahi kufika kwa safari za Dar - Mbeya ni Sauli na ndiyo inashika chati kwa kuwa na wateja wengi kwa sasa
 
Hizo gar nazipanda san, tisa kamili na nusu uko dar, moja anaendesha chalii yangu ila leo kapanda arusha mweupe ivi
 
Hahahhah! Dar express wamepitwa sijui ata wako wapi, tumeshika kijiti nani atupokonye chuma YOUTONG ila mwendo wake ni noma.
hujui magari mkuu, tochi ndo zimefanya uone ka gari hilo ni bora katika speed ila hilo hamna kitu. hayo mengine yanafuata taratibu za sasa tuuu maana watu wameshakubaliana na sheria za barabarani na wanataka wapeleke hela yote nyumbani ikasaidie familia ila si kulipa faini
 
Watu wanashindwa kuelewa fitna zilizopo kwenye makampuni ya mabus, 1: Makampun mengi huwa wananunua tochi.
2: Wanahonga askari barabarani ili kusimamisha kampuni pinzani na kuwapotezea muda.
 
Gari ni BM Coach na Marangu Coach kwa sasa. Hao wengine ni takataka tu ukiachana na Dar Lux pekee.

Jana nmeanza trip Dar 0630 mpaka 1730 niko Moshi mjini. That was Marangu Coach.

BM alianza trip 0600 na amewasili 1700 Moshi mjini japo tulikutana hotelini.
mkuu hizi gari za kichina ni nzuri katika body na comfortability tu ila mambo mengine tuachie scania,
 
sauli ni kampuni ya uhakika sana maana inamabasi yenyeuwezo na yanaweza kuishi zaidi ya miaka kumi barabarani japo ni kampuni inayochipukia nadhani kwasasa anamabasi manne
 
Back
Top Bottom