Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent Msengi, 1995 - akitoka na Division Zero kabisa pale Tumaini Sec. Singida.
Eti darasa la saba huyu ndiyo Mwigulu akahakikisha anakuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Huyu amekuwa hana kabisa haiba ya uongozi - muda wote ni kutumia mbinu za mwenda zake - vitisho vitisho tu, siku nenda siku rudi. Anawafuata fuata sana watendaji wa Halmshauri - mtu bila hata kukosea anamwazimia na kuamrisha Mkurugenzi kumhamisha kazi. Watu kibao ameshawahamisha vituo vya kazi kutokana na udhaifu wa kiuongozi.
Huyu kwa kuwa alitumika kama namba moja kuiba Uchaguzi wa Iramba, 2020 basi ana mawazo yale yale ya kiwizi wizi - anafikiria 2025 itakuwa hivyo. Kuna kaka wa watu eti kwa kuwa tu wamegongana kwa binti mrembo basi kaamua ahamishwe kituo cha kazi. Bahati nzuri huyu mdada amenifungukia kila kitu na nitahakikisha stori hii itawekwa hadharani - ni suala la muda tu.
Dr. Mwigulu chunga huyu mtu wako - sio kwa sababu eti mlilala kitanda kimoja cha ngozi na kuchunga pamoja ati anakufaa - hakufai huyu - ndiyo maana wewe ulifaulu kwa kiwango cha Div. 0ne, yeye akapata Zero kabisaaaaaaa - andika sifuri ongezea na masikio!