Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #161
Mungu ibariki JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiishii kwenye kusema tu we pomboKama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Angekua mweupe MUNGU wa chato asingejaribu kumuuaLisu bila kumtaja taja Magufuli ni mweupe tu.
Kesi wamehurumiwa wanajidai zilikua za kubambikiwa. Ndio tabia ya chadema wamejaa ubinafsi. Wako kwenye siasa kutetea maslahi yao binafsi tu. Shamba la mbowe lilikua kwenye vyanzo vya maji etc. Yaani ni kesi halali ila zimefutwa na samia kinyume cha sheria kuwahonga ili wamuunge mkono agombee urais. Sema sasa mama hawajui hawa ngamia🤣😂Katika Muendelezo wa Mikutano ya hadhara inayoendelea kwenye Oparesheni 255 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , ambayo sasa imeingia kwenye Mkoa wa Katavi, Tundu Lissu ameyataja mapungufu ya Maridhiano hadi sasa.
Akizungumza kwa kujiamini mbele ya Maelfu ya wananchi Lissu amesema kwamba , maana halisi ya maridhiano ni kuhakikisha kwamba Makandokando ya awali yaliyotokana na utawala wa kikatili wa awamu ya 5 yanaondolewa na kuanza ukurasa mpya.
Bali anashangazwa na kitendo cha washirika wa makandokando hayo kuendelea kupewa vyeo tena katikati ya naridhiano , Amemtaja IGP Camillius Wambura kama mpishi mkuu wa kesi zote za uongo zilizomkabili yeye mwenyewe , ambazo zimetupiliwa mbali mahakamani , anadai hakuna asiyejua upishi wa kesi za uongo wa Wambura , lakini aliteuliwa IGP
Tundu Lissu amefunguka kwamba Byakanwa ndiye aliyeharibu miundo mbinu ya Shamba la Kisasa la Freeman Mbowe , baada ya hapo akala shavu na kuwa RC wa Mtwara , na sasa ameteuliwa Balozi .
Lissu Amemtaja Ramadhan Kingai kama Mhalifu aliyetunga kila uongo kwenye kesi ya Ugaidi wa uongo iliyomkabili Mbowe, hata baada ya kesi hiyo kutupiliwa mbali Kingai akapandishwa Cheo , Lissu amedai kwamba katika wahalifu wa awamu ya 5 ni Sabaya Pekee aliyejaribu kushughulikiwa.
Tundu Lissu amependekeza Maridhiano ni lazima kweli yazingatie kuondoa matatizo pamoja na walioyaleta .
Nilisema mwanzoni kabisa kuwa pale hakuna maridhiano. Lengo ni kupata favor ya CHADEMA kama walivyoipata ya ACT na vyama vingine..Katika Muendelezo wa Mikutano ya hadhara inayoendelea kwenye Oparesheni 255 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , ambayo sasa imeingia kwenye Mkoa wa Katavi, Tundu Lissu ameyataja mapungufu ya Maridhiano hadi sasa.
Akizungumza kwa kujiamini mbele ya Maelfu ya wananchi Lissu amesema kwamba , maana halisi ya maridhiano ni kuhakikisha kwamba Makandokando ya awali yaliyotokana na utawala wa kikatili wa awamu ya 5 yanaondolewa na kuanza ukurasa mpya.
Bali anashangazwa na kitendo cha washirika wa makandokando hayo kuendelea kupewa vyeo tena katikati ya naridhiano , Amemtaja IGP Camillius Wambura kama mpishi mkuu wa kesi zote za uongo zilizomkabili yeye mwenyewe , ambazo zimetupiliwa mbali mahakamani , anadai hakuna asiyejua upishi wa kesi za uongo wa Wambura , lakini aliteuliwa IGP
Tundu Lissu amefunguka kwamba Byakanwa ndiye aliyeharibu miundo mbinu ya Shamba la Kisasa la Freeman Mbowe , baada ya hapo akala shavu na kuwa RC wa Mtwara , na sasa ameteuliwa Balozi .
Lissu Amemtaja Ramadhan Kingai kama Mhalifu aliyetunga kila uongo kwenye kesi ya Ugaidi wa uongo iliyomkabili Mbowe, hata baada ya kesi hiyo kutupiliwa mbali Kingai akapandishwa Cheo , Lissu amedai kwamba katika wahalifu wa awamu ya 5 ni Sabaya Pekee aliyejaribu kushughulikiwa.
Tundu Lissu amependekeza Maridhiano ni lazima kweli yazingatie kuondoa matatizo pamoja na walioyaleta .
HakikaNilisema mwanzoni kabisa kuwa pale hakuna maridhiano. Lengo ni kupata favor ya CHADEMA kama walivyoipata ya ACT na vyama vingine..
Tatizo CHADEMA wanajitambua sana, hapo ndo CCM ilibugi
Ndio hivyo na ndivyo ilivyokuwaHehehe....hovyo
Mimi nipo CCM lakini naelewa CHADEMA ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Daudi dhidi ya mfalme Sauli.Hakika
Unawezaje kuwa ccm?Mimi nipo CCM lakini naelewa CHADEMA ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Daudi dhidi ya mfalme Sauli.
Huu uhuni wa kubaka demokrasia, kuteka na kuua, ufisadi na kadhalika ni lazima ufike mwisho
SAMIA MUST GO
Nyumba ikivamiwa na viroboto, mchwa, nondo na panya. Haikimbiwi, unapambana nao ukiwa ndani humohumo.Unawezaje kuwa ccm?
Una roho ngumu sana!Nyumba ikivamiwa na viroboto, mchwa, nondo na panya. Haikimbiwi, unapambana nao ukiwa ndani humohumo.
Last solution ni kuhama kama wakizidi lakini lazima upambane nao ndugu yangu.
Mkitaka tutoke CCM, mtapata wapi updates za uhuni unaopangwa ndani?
Kukubatia muti ni nightmareMimi naona ni sahihi,bado sabaya kupewa UDC ,mtakumbatia mti mwaka huu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
KabisaKukubatia muti ni nightmare