Mpanda: Tundu Lissu ayalipua Maridhiano, Kingai, Byakanwa na Wambura Watajwa

Kesi wamehurumiwa wanajidai zilikua za kubambikiwa. Ndio tabia ya chadema wamejaa ubinafsi. Wako kwenye siasa kutetea maslahi yao binafsi tu. Shamba la mbowe lilikua kwenye vyanzo vya maji etc. Yaani ni kesi halali ila zimefutwa na samia kinyume cha sheria kuwahonga ili wamuunge mkono agombee urais. Sema sasa mama hawajui hawa ngamia🤣😂
 
Nilisema mwanzoni kabisa kuwa pale hakuna maridhiano. Lengo ni kupata favor ya CHADEMA kama walivyoipata ya ACT na vyama vingine..

Tatizo CHADEMA wanajitambua sana, hapo ndo CCM ilibugi
 
Hakika
 
Mimi nipo CCM lakini naelewa CHADEMA ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Daudi dhidi ya mfalme Sauli.

Huu uhuni wa kubaka demokrasia, kuteka na kuua, ufisadi na kadhalika ni lazima ufike mwisho

SAMIA MUST GO
 
Unawezaje kuwa ccm?
 
Unawezaje kuwa ccm?
Nyumba ikivamiwa na viroboto, mchwa, nondo na panya. Haikimbiwi, unapambana nao ukiwa ndani humohumo.

Last solution ni kuhama kama wakizidi lakini lazima upambane nao ndugu yangu.

Mkitaka tutoke CCM, mtapata wapi updates za uhuni unaopangwa ndani?
 
Una roho ngumu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…