Mpangaji aliyeishi Chumba cha giza kwa miaka Nane ili kufanikisha malengo yake

Kama unatafuta mtaji nadhani njia hiyo inasaidia, ila wito wangu ni kwamba inabidi vijana tujitajidi sana kutoka kwenye hizi njia za slowlane na tuingie kwenye njia za fastlane ili tuweze kubalance muda wa kuishi pamoja na kuacha alama tuzitakazo kwa hii Dunia.

Ubahiri ni jambo zuri kama utakuwa unafanya ubahiri kwaajiri ya kusave pesa ambayo unauhakika nayo baada ya muda fulani ambao unapimika, kwa maana huwezi kuweka ubahiri kwenye malengo yatakayotimia baada ya miaka 40 mbele ilihali wewe tayari uko kwenye third floor.

Lakini malengo ya miaka mitano, minne au hata saba sio mbaya as long as uko na uhakika kwamba baada ya huo ubahiri kuisha utaenda kuishi yale maisha ambayo umekua ukiyaota Kila siku angalau hata kwa asilimia 75.
 
Nimeipenda hii expert
 
Mkuu wangu labda ungesema kupunguza vyakula vya bei gari km nyama, kuku, samaki na vinywaji vya anasa lakini ety ule mara mbili ujibane mimi sishauri hiyo kwa afya yako mkuu eat as much as you can
 
Mimi aisee sio kula Yan mtu akiwa na shida hata akisema hajala natoa Kuna mda napiga hesabu ela nazofanya hivo ni nyingi Kwa kipato Cha kawaida natamni kujizuia Yan udhaifuwangu kumuona mtu anashida hata Kam mm Nina kidogo nitatoa sijui ni pepo
 
Mimi aisee sio kula Yan mtu akiwa na shida hata akisema hajala natoa Kuna mda napiga hesabu ela nazofanya hivo ni nyingi Kwa kipato Cha kawaida natamni kujizuia Yan udhaifuwangu kumuona mtu anashida hata Kam mm Nina kidogo nitatoa sijui ni pepo
Sio pepo expert ni moyo wa huruma ulio nao, ni tabia nzuri sana kwani sio wote wamejaaliwa hivyo

Ila Mungu anasema usiukunje sana mkono kana kwamba umefungwa begani,hapa tunatakiwa tusiwe wabakhili

Lakini upande wa pili anasema usiukunjue sana mkono wako kwani utafilisika

Mungu anataka tuwe kati kwa kati,tusiwe wabakhili wala tusitoe sana,kwahiyo uwe mtu wa kati kwa kati
 
Sio mbaya ila mi ni bahili wa matumizi nikiwa alone.

Kodi free(home kwangu), msosi Dona kg 25 (23000), dagaa 10000,mboga za majani free Nina bustani, nyanya 5000 per month.

38000 per month, dude ishi hivi Mwaka 1. Kisha every change direct it sehemu fulani.
 
Hao wapangaji hawana lolote. Waliona kuliko kuweka umeme wamfaidishe bibi yako baada ya wao kuondoka haitakuwa na tija.
Kama waliweza kujenga, kwanini washindwe kuunganisha umeme? Ubinafsi na uchoyo.
 
Mimi ntamani hiyo ya kukunjua kidogo lakin moyonwangu sijui upoje najitahid sana lakn wapi naumia kumuona mtu anashida hata kama na mm ninayo naonaga nin unafuu Kuna wakat inanicost sana lkn ndo Ivo
 
Sijanywa pombe yoyote tangu January 1 2025, na nimepanga nisinywe tena.

Kwa kuchagua mwenyewe tu.
PLatinum katoa mfano mzuri hapa,haya maexpert jukumu letu ni kuhamasika na kutia nia madhubuti
 
Mimi ntamani hiyo ya kukunjua kidogo lakin moyonwangu sijui upoje najitahid sana lakn wapi naumia kumuona mtu anashida hata kama na mm ninayo naonaga nin unafuu Kuna wakat inanicost sana lkn ndo Ivo
Hivi wake kama nyinyi huwa mnapatikana wapi?

Fanya ile kitu roho inapenda,maadamu kuwaona wengine wanatabasamu inakupa furaha fanya hakika mwenye mkono wa kutoa ana baraka nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…