Mpangaji kanitega kwa kuniwekea kufuli lake kwenye mfuko wa suruali nilipoanika

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
 
We ni mvulana au kijana, au mbaba???

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
Mkuu, ipo siku utaanika nguo halafu itakuwa imewekewa K-Y. Uje kutupa mrejesho tafadhali...
 
Acha zinaa mbaya kijana,ila unaonekana umedhamiria kutembea nae endelea ili uridhishe moyo wako!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
Mruhusu aje achukue mzigo wake then aondoke kama huna interest nae.
 
Et!!! Ichome tu moto hana adabu usije ukajilengesh kwake uyo anaonyesha n chuma cha moto
 
Bahati ilioje hii jamani [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Back
Top Bottom