Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?