Mkuu, ipo siku utaanika nguo halafu itakuwa imewekewa K-Y. Uje kutupa mrejesho tafadhali...Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
Mruhusu aje achukue mzigo wake then aondoke kama huna interest nae.Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
Mimi ni x+y=We ni mvulana au kijana, au mbaba???
I'm the queen of my own empire. [emoji182]