Mpangaji mtata kulipa kodi na kuhama

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli ukipata mpangaji mkorofi ni shida sana, kosa lako umemuacha muda mrefu sana, na kama serikali za mtàa imeshindikana basi solution pekee iliyobaki ni kwenda baraza la ardhi na nyumba.

Mm wangu alipoanza kunisumbua tu kulipa kodi nililpa notice kwa text za kawaida na whatsapp, wakati huo alishaanza kutokujihu message zangu, then nikaziprint kisha nikampeleka serikali za mtaa, tukaandikishiana, japo aligoma lisaidi lile andiko la swrkali za mtaa nashukuru alitoka tarehe tuliyokubaliana.

Plan ilikuwa asingetoka ndio tungeenda baraza la ardhi, na kule kwenye baraza mkataba, printout za massage za whatsapp na sms za notice ya kuhama pamoja na makubaliano tuliyoyafanya kule serikali za mtaa ndio vingetumika kama ushahidi.

Baraza la ardhi kimsingi ni mahakama, na unajua mahakama zetu, ni vizuri ukienda uwe na some lubricants ili kurahisisha kesi yako na kuifanya iishe ndani ya muda mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ezua mabati mkuu, haya mambo ya kesi anaweza kukushinda ukafa buure.
 
Ulimpa mkataba?
 
Kesi hawezi kimshinda,unless hana documents kama nilisema hapo juu, anachoweza kufanya ni luchelewsha hukumu kwa kucheza deal na baraza, lakini uzuri wa baraza la ardhi pia, kodi anayodaiwa mpaka siku atakayoondoka ndani ya nyumba atatakiwa kuilipa

Na uzuri wa siku hizi, kesi za madai, mdaiwa anapewa muda wa mwezi kulipa, akishindwa unarudi mahakamani, mdaiwa anafungwa, akitoka deninlipo pale pale
Ezua mabati mkuu, haya mambo ya kesi anaweza kukushinda ukafa buure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu ukijifanya kauzu hao wanakua kauzu mara mbili yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshapoteza pesa nyingi kwake sasa tumia tu elfu 15 ya mwisho uondokane naye kwa amani.
Kamtafutie room moja huko uswekeni room ni sh.5000 kwa mwezi mlipie miezi 3 ni sh.15,000 unamuambia adios amigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wenu ulipitia Kwa wakili? Kama ni hivyo mfuate wakili atakusaidia, pia mdau #12 ni msaada mkubwa sana Kwa tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wenu ulipitia Kwa wakili? Kama ni hivyo mfuate wakili atakusaidia, pia mdau #12 ni msaada mkubwa sana Kwa tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna mkataba wa maandishi
Ushahidi ni voice note za simu tulizopigiana na sms, pia bàrua zangu za notisi nilizipitishia kwa balozi na mwenyekiti wa mtaa akaitwa akakiri mbele yao na akahaidi siku ya kulipa na kuondoka
Hiyo ilikua mwaka jana
Baada ya hapo sijamtia machoni tena
 
Umeshapoteza pesa nyingi kwake sasa tumia tu elfu 15 ya mwisho uondokane naye kwa amani.
Kamtafutie room moja huko uswekeni room ni sh.5000 kwa mwezi mlipie miezi 3 ni sh.15,000 unamuambia adios amigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida huyu mwanaizaya hapatikaniki na simu haipo hewani
Sijui nimuhamishe tu mkewe na watoto?
 
Mwambie huyu unayemkuta nyumbani, atumie chumba kimoja vingine akuachie, uwe na huyo balozi ahamishe vitu vyake.vingine weka kufuli, huyu anayekuja usiku sijui 'nyumba' atakulaje ndani ya chumba kimoja na watoto, atahama mwenyewe, la sivyo jamaa atakuwa ameasi familia anakula bata ke hataki kuhama na hakuambii ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hii njia inaweza kumkurupua huko aliko aje atoke

Ni kweli itasaidia. Yaani mali yako ikutese, hiyo hapana.
 
Classic class.
Tumenufaika wote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah! Dingilai mtata sana.... ila itakuwa aliwahi kuwa MTU WA KAZI
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amlipeje nawakati yeye ndo anamdai?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapangishaji vs Wapangishwaji


Ngoja tunaopanga tukakae kikao Cha dharura kujadili mbinu mpya za kuwazungusha wenye Nyumba maana kwa yanayojili humu tutatupiwa virago vyetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…