Mpangaji mwenzangu anamnyemelea mke wangu

Huna akili kama unasubiri kupewa ushauri wa jf ndio ufanye maamuzi??
 
Anaweza akawa hajapitiwa ila sema yuko 50/50 maana yake huyo incharge kuna vigezo fulani bado hajavitimiza ila akivitimiza tu hivyo vigezo anapewa mzigo kwa hiyo jamaa mwenye mke akichelewa kidogo tu itakula kwake.
 
Fanya hivi chukua simu ya wife nimekukubalia toka nje mume wangu kalala akitoka tu unamchana wewe huyu ni mke wangu nikome na katafute wakwako .
Yes ilitakiwa afanye hivyo muda huo huo alivyoona hiyo meseji kisha jamaa akija anamchana mbele za watu atanywea kama piriton.
Au kama hataki kuchoreshana angeandika tu meseji ya kumtisha"Jirani unataka kuniibia mke wangu siku nitakayokukamata utajuta kuzaliwa"baada ya hapo jamaa ataona aibu sana hata wakikutana atashindwa kumuangalia usoni na amkazie macho amuonyeshe sura ya hasira ili kumthibitishia kwamba mchezo wake ameugundua.
 
Daah ila hiyo ni dharau kudadeki, huyo incharge kakuchukuliaje hadi atongoze mkeo??
Kwamba anakuweza au?

Hapo washa pia kwa wife, washa pira pia kwa huyo incharge wenu. Pira pira kweli sio la kitoto.
Nyumba isimame kua huyo jamaa kapewa kazi ya kukusanya pesa sasa anakusanya hadi wake zetu na hujui kapita na wake/wapenzi wa wangapi hapo, anatumia hiyo nafasi kuchombeza wake zenu..

Ukikaa kiboya ati unamwamini mwanamke ataliwa kweli uishie kusononeka.
 
Daaaah
 
tafuta ky na umshawishi jamaa aje kwako mkaribishe kula kunywa,mnyweshe mpaka alewe,basi akilewa mpake mafuta na umtembelee kwa mpalange
 
A Man of tamaaa πŸ˜ƒ
 
Kweli wanaume wanapukutika kwa kasi mno na kauli ya papa imewaathiri sana niliposoma comment zenu nimeumia mno,laiti ingekuwa huku pwani huyo mtu angekuwa ashafumaniwa(ugoni)tayari,kwahiyo mwenye mume unaamua umtoze pesa au umle huyo mshkaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ujiamini wew mbaka apo na una uwezo WA kufanya maamuzi kama mwanaume swala kama hili ilitakiwa utuletee mrejesho uku baada ya iyo kasumba na sio kuja kuomba ushauri...

Sio Bure iyo in charge anataka akulie mke wako maan kasha kuona wew ni bwege
 

SIKIO (MAWASILIANO) NI BARABARA YA KWENDA MOYONI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…