Mpangaji mwenzangu anamnyemelea mke wangu

Mijadala Migumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
380
Reaction score
422
Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.

Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.

Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji wote hapa tunapoishi, kiufupi ana namba yangu na ya wife pia.

Sasa juzi niko na simu ya wife meseji ikaingia " nimekukosea nini mbona hujibu meseji zangu " Ikiwa imeseviwa jina la jamaa.

Kufatilia meseji za nyuma naona jamaa ni karibu miezi miwili sasa anajaribu kumtongoza wife, japo wife ameonekana kumkazia na kumsisitiza kuwa anaiheshimu ndoa yetu. Nimeona kupitia meseji. Ingiwa wife hajaniambia mimi hiki kinachoendelea.

Ushauri wadau. Vipi nimchane huyu jamaa kuwa aachane na wife, au nimpotezee kwanza kama sijui kinachoendelea.
 
Hii kweli ni Mijadala Migumu
 
Kuchanganyikiwa mchezo🤣🤣 lazima irudiwee
 
Si umkaze huyo jamaa!
 
Nikwambie au nikuache??

Wacha nikwambie mkeo mjanja kashapitiwa na huyo incharge wenu, ila kaacha msg za mtongozo ili kukufanya kanyaboya.!!
Mwanamke ambaye hataki mazoea ya kijinga angeshamblock na usingekuta msg ambazo anahisi zitaweka ndoa yake mashakani.!!
 
  1. Wife anajua una kawaida ya kuchukua simu yake na kusoma meseji zake? Una password yake? Na kama hapana, imekuwaje ukachukua simu ya wife na kusoma meseji zake? Kama anajua unasoma meseji zake basi mwambie umeona meseji za jamaa. Labda kaziacha ili usome umsaidie kum handle jamaa
  2. Sitegemei wife kuniambia kila anapotongozwa na mwanaume, nachukulia kwamba ni issue anaweza kuzi - handle. Hivyo elewa kwamba si mara ya kwanza anatongozwa, na kama unajiamini na unamwamini, basi ataweza kum handle huyu jamaa kama anavyo wa-handle wanaume wengine. Huhitaji kumuuliza, hasa ukizingatia 1 hapo juu.
  3. Kulingana na 2 hapo juu unaweza kumpuuza tu huyo mwanaume, kwa sababu hata kama ukijua wife anatongozwa huwezi ukawa unamfuata kila mwanaume anaemtongoza mke wako na kumchana. Ila unaweza kumuonya kijanja, kama vile mko kwenye story halafu unasema katika vitu ambavyo siwezi kuvumilia ni mwanaume kumtongoza mke wangu akijua wazi ni mke wa mtu, I say nimkimgundua namuua kifo kibaya sana. Ukiwa convincing mpige story kuwa ulishaua mtu kwa kumtongoza mke wako ila hata wife hajui! Jifanye huna habari kabisa anamtongoza mkeo, na wala hutegemei atafanya hivyo. Mwambie nilimwekea sumu kwenye bia watu wakadhani amekufa ugonjwa wa tumbo tu, maana sumu yenyewe kiboko doctors hawawezi kugundua kanyweshwa sumu - utaona jamaa kesho yake kahama hapo mnapokaa, au angalau ataacha kukuomba ofa za bia!
 
Nikwambie au nikuache??

Wacha nikwambie mkeo mjanja kashapitiwa na huyo incharge wenu, ila kaacha msg za mtongozo ili kukufanya kanyaboya.!!
Mwanamke ambaye hataki mazoea ya kijinga angeshamblock na usingekuta msg ambazo anahisi zitaweka ndoa yake mashakani.!!
yeah, mwanamke smart haachi sms za miezi miwili nyuma hata kama kama hamtaki jamaa, kitendo cha yeye kuacha hizo sms ni kutengeneza ushahidi,
swali la kujiuliza, anatengeneza ushahidi wa nini kama hajatafunwa?
 
Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.

Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.

Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji wote hapa tunapoishi, kiufupi ana namba yangu na ya wife pia.

Sasa juzi niko na simu ya wife meseji ikaingia " nimekukosea nini mbona hujibu meseji zangu " Ikiwa imeseviwa jina la jamaa.

Kufatilia meseji za nyuma naona jamaa ni karibu miezi miwili sasa anajaribu kumtongoza wife, japo wife ameonekana kumkazia na kumsisitiza kuwa anaiheshimu ndoa yetu. Nimeona kupitia meseji. Ingiwa wife hajaniambia mimi hiki kinachoendelea.

Ushauri wadau. Vipi nimchane huyu jamaa kuwa aachane na wife, au nimpotezee kwanza kama sijui kinachoendelea.
Mle wa kwake haraka haraka, ukimaliza mpige mkwala sasa ili aache kumfatilia mkeo, mjinga sana huyo jamaa
 
Back
Top Bottom