Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni mazuri haya eti?!View attachment 3048207Kijana mtumie picha hii whatsap yake alafu weka emoj za 😋😋
We binti inategemea mazuri ukiyatumiaje ukipakaa mazuri ila ukimpaka mtu mazuri zaidi😅Hivi ni mazuri haya eti?!
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee🙌We binti inategemea mazuri ukiyatumiaje ukipakaa mazuri ila ukimpaka mtu mazuri zaidi😅
Jirani unataka kuua mtu kwa presha?Nikwambie au nikuache??
Wacha nikwambie mkeo mjanja kashapitiwa na huyo incharge wenu, ila kaacha msg za mtongozo ili kukufanya kanyaboya.!!
Mwanamke ambaye hataki mazoea ya kijinga angeshamblock na usingekuta msg ambazo anahisi zitaweka ndoa yake mashakani.!!
Ya mpangaji?Picha yake mkuu
Muache tu naye anajaribu bahat yake, sema waifu wako hajampenda angempenda hiyo msg usingeikuta, na usijipe matumaini kuwa waifu hajaona kama umekatika, usijeshangaa amekuwekea mtego ili ujue jamaa anakaziwa kumbe kuna jambo linaendelea nyuma ya paziaTupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.
Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.
Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji wote hapa tunapoishi, kiufupi ana namba yangu na ya wife pia.
Sasa juzi niko na simu ya wife meseji ikaingia " nimekukosea nini mbona hujibu meseji zangu " Ikiwa imeseviwa jina la jamaa.
Kufatilia meseji za nyuma naona jamaa ni karibu miezi miwili sasa anajaribu kumtongoza wife, japo wife ameonekana kumkazia na kumsisitiza kuwa anaiheshimu ndoa yetu. Nimeona kupitia meseji. Ingiwa wife hajaniambia mimi hiki kinachoendelea.
Ushauri wadau. Vipi nimchane huyu jamaa kuwa aachane na wife, au nimpotezee kwanza kama sijui kinachoendelea.