Hawa wenye viwanda vya kutengeneza bidhaa feki ni mamafia kweli kweli , cha kufanya huyu jamaa aende kwa wazalishaji wa bidhaa husika awape ramani nzima , wao ndio watadeal na huyo mhusika , ila akijiingiza kichwa kichwa ,tutamkuta kwenye kisima au septic tank la Choo