Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Upelelezi haujatoa jibu la motive!
Kwa nini walimuua? Hapa ndipo panafumia msingi mzima wa mauaji haya.
 
Ila hii michongo haikosi wakubwa! Ila mpaka uzi umkute mkubwa si rahisi wanaishia kufa watumwa!
Uzi unaweza kumkuta vizuri,ila mpelelezi akashindwa kuamini jasho likamtoka au hata kuzimia.
 
Wewe ni taahira? Yaani wauaji washinde?
wewe ni mwendawazimu wanashindaga una uthibitisho gani kama ni wahusika kweli kama walilazimishwa kukiri? wewe layman hujaona kule mfanyabiashara wa ma bus ya J4 kanda ya ziwa aliyekuwa amehukumiwa kunyongwa kwa kuua watu ameshinda rufaa na kuachiliwa na mahakama.
 
Na je, kama kweli waliua? Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga. Dhulma haifutiki kamwe.
 
Upelelezi haujatoa jibu la motive!
Kwa nini walimuua? Hapa ndipo panafumia msingi mzima wa mauaji haya.
Mkuu ina maana kusoma kote uzi mzima umeshindwa kupata sababu?! Yaani hadi wakutajie?! Mbona taarifa iko wazi kabisa ishu ya mzungu ilikuwa ni kupambana na majangili. Kwahiyo alikuwa anakwamisha mishe za vigogo wa meno ya tembo!! Wakaona wampanguse!!
 
Hiyo naijua. Lakini upelelezi ulipaswa kujibu na sio sisi kuanza kubuni majibu.
 
Kuna watu walisomea na kubobea kufanya uchunguzi.

Huezi fanya mauaji watu wasikukamate. Lazima utaacha trace ambayo ndo itasababisha wewe kukamatwa.

Labda uue mbuzi wa jirani yako.
Siyo kweli kwamba kila muuaji anakamatwa
 
Duh Makoyi alikuwa anabadilisha magari daily kumbe alikuwa na biashara haramu nyuma ya pazia.
kijana mdogo maisha yake amekatiza kinamna.
 
Kwa kawaida kila mpango huwa unaacha mabaki ( traces) ambayo hutumika katika uchunguzi.
Wahalifu ambao ni "professional hitmen" wanajua vema namna ya kutoacha alama kwenye "crime scenes"

Kwa nchi kama Russia, professional hitmen wengi wao huwa ni wastaafu wa vyombo vya usalama.
 
Back
Top Bottom