Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Mbowe anatakiwa kuripoti mahakamani kila alhamis na hatakiwi kutoka nje ya mkoa bila kibali maalumu so huko Marekani ameendaje?
Na passport yake imeshikiliwa na Polisi. Huyu jamaa mtoa habari ajiongeze hapa kachemsha
 
Marekani ya dodoma.... Karibu na chako ni chako palipovunjwa???
 
Ukilifikiria deni la matibabu ya nje lilivyokuwa na kutoonekana kwa trillion 1.5 basi hii thread haina mashiko kuwepo hapa kwa mifano ya kuiga uchina kama nao walipitia vipind hivyo.
muulize kama spika wa china alitibiwa india miezi miwili,akikujibu nitaarifu.
 
1.5 trillion please[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855]
 
Mkuu umechemsha ile mbaya. Hujui kwamba passport yake iko polisi na hatakiwi kutoka nje ya nchi bila kibali cha mahakama na kila Alhamis anatakiwa kuripoti polisi? Pole sana ukitaka kudangaya pia uwe na kumbukumbu
 
Usitutoe kwenye mstari. Watanzania tunahitaji maelezo ya kuridhisha kuhusiana na ziliko pesa zetu tril 1.5. Huyo Mbowe hana madhara yoyote kwetu.
 
Picha tafadhari kabla hujatuhumia kuwa wewe ni muongo
 
Hahahaha jamaaa kaumbuliwa, wala hayupo marekani.
Ila watu wengine ni majuha Sana.
26 kuandamana lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…