Tetesi: Mpango wa Diamond kuchukua uraia wa Kenya umekwama, anataka kwenda Nigeria

Pumbavu thanaaaaaa....! eti akuletee dola, kwani yeye ndiye mletaji wa dola pekee nchini?

Shwaini kabisa wewe
 
Aende zake huko hana umuhimu wowote kwa nchi zaidi ya kuharibu maadili ya jamii, yeye ndio mwanzilishi wa kutembea na wazee na vijana wadogo wanamuiga, yeye ndio mwanzilishi wa kuvaa visuruali vya kubana siize ya watoto na vikoti vya ajabu vijana wanamwiga aende...... aende...... aende......
 
Poor managment ever, kama hili ni kweli basi diamond atakuwa msanii wa kwanza maarufu kuwa na poorest managment

Diamond anavihela vya kubadilishia mademu tu so achane na kuitunishia misuli serikali ni msala

Yusup Manji ni richest man duniani lakini kwenye sakta la kutengenezwa na ccm hakuikimbia nchi yake

Rostam Aziz alikimbia nae ni billioner ana hela lakini alirudi ndani ya nchi yake hakudhubutu kwenda kuchukua uraia wa nchi nyingine

Mo dewje bado tupo nae mtaani

Hans Poppe Bado tupo nao mtaani

Diamond umaarufu wako utakoponza usidhubutu kushindana na mamlaka utapotea
 
Wema alioutenda kwa wananchi na taifa lake anakuja kuhukumiwa kwa kosa moja tu. nadhani hatarudia tena kusaidia jamii
 
Akichukua uraia wa nchi nyingine anakuwa ameukana uraia wa Tanzania , non Tanzanian haruhusiwi kumiliki aridhi.


Sasa mpeni kichwa baadae aanze kulia kafilisiwa Mali zake (Majumba na mashamba)


Watu wameukana uraia wa Bongo na bado wana mijengo na project zao. Sheria zipo na maishmaisha yapo, michongo tu
 
Watu wameukana uraia wa Bongo na bado wana mijengo na project zao. Sheria zipo na maishmaisha yapo, michongo tu
sure mkuu tunaofuta sheria ni sisi akina siye lakini sio hizo level za akina baba tiffa aka baba nilan
 
Mbona wanazipiga?

Kwa level alizofikia Diamond anafanya kazi Nigeria na bado Tanzania mtamshabikia tu.

Daily
-Trace
-Soundcity wanapiga nyimbo zake.
 
Watanzania tu na wivu saana kwa watu wanaoenda kufanikiwa.

Watu wengi wameangusha hivi kwenye hiyo nchi.
 
Samahani mkuu. Unaelewa vizuri maana ya neno RICHEST MAN 'duniani'.?
 


Wewe kama ni Kijibaba ambalo hata umri uko 35+ basi acha umbeya!
Diamond kwa alikofikia ki monie anaweza kuishi kenya kama mwekezaji.
 
Eti mwanzilishi! Utakuwa hujui vitu sana!
 
Rais Museveni alimsifia mlimbwende huyo na waandaji wa shindano la Miss Uganda na kuahidi kuwapa ushirikiano. Lakini hata hivyo 'alimsuta' mrembo huyo kwa kuvaa "nywele za Kihindi".
"Abenakyo ni mrefu haswaa, binti mrembo kutoka Musoga. Tatizo langu pekee ni kuwa alikuwa amevaa nywela za Kihindi. Nimemsihi kubaki na nywele zake za asili. Lazima tuuoneshe uzuri wa Kiafrika katika uhalisia wake," ameandika Museveni kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter.
Mtu mweusi atabaki kuwa mweusi tuuu.

Maendeleo labda mpaka mwaka 30,000 !
 
Kaka huwa sikuelewagi katika mada zako nyingi lakini katika hili nimekusapoti kwa 100%.

Kwanini Serikali inayoongoza zaidi ya WaTZ milioni 56 iwekewe kiburi na mtu m1 pekee?
 
Asante sana Mama, na haya mawatu kufikia hatua yanajidharau hadi asili zao Mungu atazidi sana kuyalaani.

Kwanini yampangie Mungu namna ya kumuumba mtu?
 
Wema alioutenda kwa wananchi na taifa lake anakuja kuhukumiwa kwa kosa moja tu. nadhani hatarudia tena kusaidia jamii
Na hata asiposaidia bado Tanzania itaendelea kuwepo.

Kwanza wema gani huo wa kujitangaza tangaza hata Mungu hapendezwi nao?

Unadhani Mungu hakuoni unapotenda mema na mazuri hadi ujitangaze hadharani?

SIFA ZA KIJINGA
 
mzee wa basata vipiii?!!

Mbona umemjibu kwa jazba namna hiyo
"Alaaniwe anayemtegemea Mwanadamu na amebarikiwa yule anayemtegemea Mungu"

Diamond ni Binadamu sawa na wengine ambapo huzaliwa, huishi, hufa.

Sasa kukufuru gani huko kwa kumtukuza Mtu kama vile ni Mungu kwamba asipokuwepo yeye basi Tanzania imefeli kabisa katika kupatikana kwa dola?

Hivi wale akina Michael Jackson wakwapi leo hii?

Walikuwa hawachangii kodi katika nchi zao?

Na baada ya Michael Jackson kufariki ndipo ulikuwa mwisho wa USA kufanikiwa kiuchumi duniani?

Tuwe tunafikiri kabla ya kuropoka kuwa tunachokisema kina mantiki wala siyo kuleta mihemko ya mahaba kwa Diamond nakati kakosea na anastahili kupewa adhabu sababu sheria no msumeno.
 
Duh wabongo wazushi balaa....yaani hapo umejitahidi kabisa na pu.m...bu zako mbili kuandika takataka hizi? Simba anatakiwa kulipa faini na kuitoa nyimbo mtandaoni ....na mambo mengine ya kumtoa hela za kodi nk ili arudi kwenye laini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…