Tetesi: Mpango wa Diamond kuchukua uraia wa Kenya umekwama, anataka kwenda Nigeria

Tetesi: Mpango wa Diamond kuchukua uraia wa Kenya umekwama, anataka kwenda Nigeria

SHERIA NI MSUMENO(INAKATA KOTE KOTE) BILA KUKUANGALIA USONI UNA HADHI GANI KATIKA JAMII.

NAKAZIAAAAAA...AONDOKE TU TZ NI ZAIDI YA DIAMOND KATIKA THAMANI.
 
Baba tupac tuwekee hapa huo wimbo ulioenda kurekodi achana na habari za dimond
 
Endeleeni kumpampu, huo umaarufu mizizi yake ni Tanzania hapa, Nigeria kuna asset kubwa ya wasanii wenye majina makubwa, huku anapendwa kajiona lolote analiweza.

Huwezi kudharau serikali waziwazi kwa kudai kuwa viongozi ni maskini wanamuonea wivu.

Aende hukoo na nyegezi yake, matusi tupu.
 
Nyimbo za diamond hawezi kupata soko Nigeria . Dunia hii kuna mahali inabidi uishi kinafiki, akae kimya miezi 6 kisha akaombe ruhusa kwa dingi mwenye nchi atafunguliwa tu . alikosea kwangwaru kuimba matusi ya wazi (nipatie vya kitandani, hata kwenye kiti). Wakamuacha, sasa nyege nyegezi haingemuacha salama . Tatizo nadhani litaisha akijishusha ila akitaka apotee kimuziki aendeleze kiburi hafiki mbali. Hivi hawezi kuanzisha mradi hata Hotel nzuri(kama anazo bilioni kadhaa kama tunavyoaminshwa kila siku mitandaoni). Kwani Kazi ni muziki tu, kukesha kila siku unaishia kama akina Whitney Houston na Rose Muhando kutumia madawa ya kulevya ili uondoe uchovu kumbe unajimaliza. Diamond amefika peak apende asipende hawezi kwenda juu ya hapo alipo ila anaweza kumaintain kwa kuwa mnyenyekevu. Akicheza atarudi Tandale akiwa kama alivyotoka . wasanii wengi wanaishi above their economic means kwa kuonyesha nje kuwa wako juu , halafu matokeo ni kufilisika .Diamond a some upepo , mzee Mwinyi alisema kila zama na kitabu chake.Awamu ya tano ni kila nafsi ipige magoti na kusifia watawala. Kinyume chake hana future. Hana kiingereza cha kumbeba nigeria na kuanza kujenga soko huko hana . Atulie tu watamsamehe ndani ya mwaka,
Nyimbo za diamond tangu aanze kuiga wanaijeria imekuwa ya matusi,Diamond bila nyimbo za matusi hawezi kuhit,siyo nyumbani au kwenye gari nyimbo zake haziwezi kusikilizwa na watu wenye umri tofauti waliokaa pamoja.
 
Home is not a house!
Tz itabaki ndio nyumbani kwake na moyo wake utafahamu na kutaka hivyo hata yeye adanganye.
 
dogo hajasema anataka kuchukua uraia wa nchi nyingine ila kasema anataka kuhamishia kazi zake nchi jirani ambako sheria hazitumiki kuwakomoa watu

yaani mtu ashindwe kwenda US,UK na kwingineko kutuletea dola,paund na euro kuiokoa shilling yetu inayoporomoka kila siku kisa kutumia neno nyege kwenye mashairi ya wimbo wimbo wake
Nashauri mpoto atunge wimbo unaohusu KUNDUCHI na atamke neno hilo kwa kigugumizi siku ya uzinduzi wa jambo.
 
Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya.

Maamuzi hayo ni kufatia kuzuiwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana kitu ambacho ndio biashara yake kubwa hivyo asipofanya show inamaana atayumba kwa muda usiojulikana.

Inasemekana alianza mazungumzo na wizara ya mambo ya ndani ya nchini Kenya baada ya kufungiwa ambapo imeonekana ni changamoto. Kwa mujibu wa ''Kenyan Citizenship and Immigration Act of 2011'' mtu anaweza kuwa raia wa Kenya kwa kuomba lakini baada ya kuishi Kenya kwa miaka angalau 7 au awe ameoa raia wa Kenya na wawe kwenye ndoa angalau kwa miaka saba ndipo atapewa ruhusa hiyo.

Lakini Diamond hajaoa Kenya wala hajaishi Kenya kwa kipindi cha miaka saba mfululizo. Inasemekana siku ya juzi na jana Diamond alionekana katika ubalozi wa Nigeria jambo ambalo limetafsiriwa ni kuwa anaangalia uwezekano wa kuhamia Nigeria baada ya kushindwa Kenya.

Tujifunze, pesa ni muhimu lakini pesa si kila kitu. Tukipata tuwe na adabu na hekima, tusiwe na dharau.
Na aende achukue uraia wa huko nje,huku serikali inataifisha majumba yake yote,
Sheria ipo wazi asiyekuwa raia hapaswi kumiliki hata kipande cha ardhi hapa tanzania
 
Akichukua uraia wa nchi nyingine anakuwa ameukana uraia wa Tanzania , non Tanzanian haruhusiwi kumiliki aridhi.

Sasa mpeni kichwa baadae aanze kulia kafilisiwa Mali zake (Majumba na mashamba)
Mawazo mfu hayo. Unadhani akiamua kufanya hivyo hatozingatia taratibu zote hizo? Watoto wake ni watanzania, nduguzake ni watanzania na familia kwa ujumla. Anaweza badili umiliki wa mali zake kwa jina la mtoto wake na bado akawa ana manage kama kawaida. Kwani unadhani wote wanaomiliki ardhi bongo ni watanzania?
 
Na aende achukue uraia wa huko nje,huku serikali inataifisha majumba yake yote,
Sheria ipo wazi asiyekuwa raia hapaswi kumiliki hata kipande cha ardhi hapa tanzania
Siyo rahisi kama unavyodhani. Watoto wake ni watanzania, anaweza badili hati miliki na mali zinabaki kuwa mali ya raia wa Tanzania(watoto wake)
 
Nyimbo za diamond hawezi kupata soko Nigeria . Dunia hii kuna mahali inabidi uishi kinafiki, akae kimya miezi 6 kisha akaombe ruhusa kwa dingi mwenye nchi atafunguliwa tu . alikosea kwangwaru kuimba matusi ya wazi (nipatie vya kitandani, hata kwenye kiti). Wakamuacha, sasa nyege nyegezi haingemuacha salama . Tatizo nadhani litaisha akijishusha ila akitaka apotee kimuziki aendeleze kiburi hafiki mbali. Hivi hawezi kuanzisha mradi hata Hotel nzuri(kama anazo bilioni kadhaa kama tunavyoaminshwa kila siku mitandaoni). Kwani Kazi ni muziki tu, kukesha kila siku unaishia kama akina Whitney Houston na Rose Muhando kutumia madawa ya kulevya ili uondoe uchovu kumbe unajimaliza. Diamond amefika peak apende asipende hawezi kwenda juu ya hapo alipo ila anaweza kumaintain kwa kuwa mnyenyekevu. Akicheza atarudi Tandale akiwa kama alivyotoka . wasanii wengi wanaishi above their economic means kwa kuonyesha nje kuwa wako juu , halafu matokeo ni kufilisika .Diamond a some upepo , mzee Mwinyi alisema kila zama na kitabu chake.Awamu ya tano ni kila nafsi ipige magoti na kusifia watawala. Kinyume chake hana future. Hana kiingereza cha kumbeba nigeria na kuanza kujenga soko huko hana . Atulie tu watamsamehe ndani ya mwaka,
Duuu maneno mazito yenye ukweli ndani yake
 
Mawazo mfu hayo. Unadhani akiamua kufanya hivyo hatozingatia taratibu zote hizo? Watoto wake ni watanzania, nduguzake ni watanzania na familia kwa ujumla. Anaweza badili umiliki wa mali zake kwa jina la mtoto wake na bado akawa ana manage kama kawaida. Kwani unadhani wote wanaomiliki ardhi bongo ni watanzania?
Kwasababu umekuja kishari shari Ngoja nikujibu kama kwa kadri ya uelewa wako finyu wa kichwa chako chenye kazi ya kufugia nywele na si kufikiri.

Hujui lolote kuhusu sheria ya aridhi.mgeni kumiliki land haijustfy ni halali kumiliki land kwa foreigner ..
 
Back
Top Bottom