interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Kwani baba Tupac ww muimbaji wa nyimbo gani? maana kila siku mara nlikuwa studio mara nilikuwa kwenye interview nyimbo zenyewe hatuzisikii!
Haaaaaahaaaaa dah.. umenchekesha kisenge yaani!Baba tupac ndio harmorapa
Baba tupac ndio harmorapa
Nyimbo za diamond tangu aanze kuiga wanaijeria imekuwa ya matusi,Diamond bila nyimbo za matusi hawezi kuhit,siyo nyumbani au kwenye gari nyimbo zake haziwezi kusikilizwa na watu wenye umri tofauti waliokaa pamoja.Nyimbo za diamond hawezi kupata soko Nigeria . Dunia hii kuna mahali inabidi uishi kinafiki, akae kimya miezi 6 kisha akaombe ruhusa kwa dingi mwenye nchi atafunguliwa tu . alikosea kwangwaru kuimba matusi ya wazi (nipatie vya kitandani, hata kwenye kiti). Wakamuacha, sasa nyege nyegezi haingemuacha salama . Tatizo nadhani litaisha akijishusha ila akitaka apotee kimuziki aendeleze kiburi hafiki mbali. Hivi hawezi kuanzisha mradi hata Hotel nzuri(kama anazo bilioni kadhaa kama tunavyoaminshwa kila siku mitandaoni). Kwani Kazi ni muziki tu, kukesha kila siku unaishia kama akina Whitney Houston na Rose Muhando kutumia madawa ya kulevya ili uondoe uchovu kumbe unajimaliza. Diamond amefika peak apende asipende hawezi kwenda juu ya hapo alipo ila anaweza kumaintain kwa kuwa mnyenyekevu. Akicheza atarudi Tandale akiwa kama alivyotoka . wasanii wengi wanaishi above their economic means kwa kuonyesha nje kuwa wako juu , halafu matokeo ni kufilisika .Diamond a some upepo , mzee Mwinyi alisema kila zama na kitabu chake.Awamu ya tano ni kila nafsi ipige magoti na kusifia watawala. Kinyume chake hana future. Hana kiingereza cha kumbeba nigeria na kuanza kujenga soko huko hana . Atulie tu watamsamehe ndani ya mwaka,
Nashauri mpoto atunge wimbo unaohusu KUNDUCHI na atamke neno hilo kwa kigugumizi siku ya uzinduzi wa jambo.dogo hajasema anataka kuchukua uraia wa nchi nyingine ila kasema anataka kuhamishia kazi zake nchi jirani ambako sheria hazitumiki kuwakomoa watu
yaani mtu ashindwe kwenda US,UK na kwingineko kutuletea dola,paund na euro kuiokoa shilling yetu inayoporomoka kila siku kisa kutumia neno nyege kwenye mashairi ya wimbo wimbo wake
Na aende achukue uraia wa huko nje,huku serikali inataifisha majumba yake yote,Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya.
Maamuzi hayo ni kufatia kuzuiwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana kitu ambacho ndio biashara yake kubwa hivyo asipofanya show inamaana atayumba kwa muda usiojulikana.
Inasemekana alianza mazungumzo na wizara ya mambo ya ndani ya nchini Kenya baada ya kufungiwa ambapo imeonekana ni changamoto. Kwa mujibu wa ''Kenyan Citizenship and Immigration Act of 2011'' mtu anaweza kuwa raia wa Kenya kwa kuomba lakini baada ya kuishi Kenya kwa miaka angalau 7 au awe ameoa raia wa Kenya na wawe kwenye ndoa angalau kwa miaka saba ndipo atapewa ruhusa hiyo.
Lakini Diamond hajaoa Kenya wala hajaishi Kenya kwa kipindi cha miaka saba mfululizo. Inasemekana siku ya juzi na jana Diamond alionekana katika ubalozi wa Nigeria jambo ambalo limetafsiriwa ni kuwa anaangalia uwezekano wa kuhamia Nigeria baada ya kushindwa Kenya.
Tujifunze, pesa ni muhimu lakini pesa si kila kitu. Tukipata tuwe na adabu na hekima, tusiwe na dharau.
Ndio yeye kiboko ya mabishoo ipo siku ataweka picha yake🤣🤣🤣 huo utani wa ngumi
Mmi nmemshtukia kitambo mzeeHaaaaaahaaaaa dah.. kisenge yaani!
Sasa mpeni kichwa baadae aanze kulia kafilisiwa Mali zake (Majumba na mashamba)
Mawazo mfu hayo. Unadhani akiamua kufanya hivyo hatozingatia taratibu zote hizo? Watoto wake ni watanzania, nduguzake ni watanzania na familia kwa ujumla. Anaweza badili umiliki wa mali zake kwa jina la mtoto wake na bado akawa ana manage kama kawaida. Kwani unadhani wote wanaomiliki ardhi bongo ni watanzania?Akichukua uraia wa nchi nyingine anakuwa ameukana uraia wa Tanzania , non Tanzanian haruhusiwi kumiliki aridhi.
Sasa mpeni kichwa baadae aanze kulia kafilisiwa Mali zake (Majumba na mashamba)
Siyo rahisi kama unavyodhani. Watoto wake ni watanzania, anaweza badili hati miliki na mali zinabaki kuwa mali ya raia wa Tanzania(watoto wake)Na aende achukue uraia wa huko nje,huku serikali inataifisha majumba yake yote,
Sheria ipo wazi asiyekuwa raia hapaswi kumiliki hata kipande cha ardhi hapa tanzania
Duuu maneno mazito yenye ukweli ndani yakeNyimbo za diamond hawezi kupata soko Nigeria . Dunia hii kuna mahali inabidi uishi kinafiki, akae kimya miezi 6 kisha akaombe ruhusa kwa dingi mwenye nchi atafunguliwa tu . alikosea kwangwaru kuimba matusi ya wazi (nipatie vya kitandani, hata kwenye kiti). Wakamuacha, sasa nyege nyegezi haingemuacha salama . Tatizo nadhani litaisha akijishusha ila akitaka apotee kimuziki aendeleze kiburi hafiki mbali. Hivi hawezi kuanzisha mradi hata Hotel nzuri(kama anazo bilioni kadhaa kama tunavyoaminshwa kila siku mitandaoni). Kwani Kazi ni muziki tu, kukesha kila siku unaishia kama akina Whitney Houston na Rose Muhando kutumia madawa ya kulevya ili uondoe uchovu kumbe unajimaliza. Diamond amefika peak apende asipende hawezi kwenda juu ya hapo alipo ila anaweza kumaintain kwa kuwa mnyenyekevu. Akicheza atarudi Tandale akiwa kama alivyotoka . wasanii wengi wanaishi above their economic means kwa kuonyesha nje kuwa wako juu , halafu matokeo ni kufilisika .Diamond a some upepo , mzee Mwinyi alisema kila zama na kitabu chake.Awamu ya tano ni kila nafsi ipige magoti na kusifia watawala. Kinyume chake hana future. Hana kiingereza cha kumbeba nigeria na kuanza kujenga soko huko hana . Atulie tu watamsamehe ndani ya mwaka,
Kwasababu umekuja kishari shari Ngoja nikujibu kama kwa kadri ya uelewa wako finyu wa kichwa chako chenye kazi ya kufugia nywele na si kufikiri.Mawazo mfu hayo. Unadhani akiamua kufanya hivyo hatozingatia taratibu zote hizo? Watoto wake ni watanzania, nduguzake ni watanzania na familia kwa ujumla. Anaweza badili umiliki wa mali zake kwa jina la mtoto wake na bado akawa ana manage kama kawaida. Kwani unadhani wote wanaomiliki ardhi bongo ni watanzania?