Mpango wa Iran Kutengeneza Slaha za Nuclear Kujihami dhidi ya Israel

Mpango wa Iran Kutengeneza Slaha za Nuclear Kujihami dhidi ya Israel

Jesus Mlokozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
2,684
Reaction score
21,117
Mnamo mwaka wa 2018, Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump ilijiondoa kutoka kwa makubaliano hayo na kuiwekea Iran vikwazo vipya. Hii ilisababisha mvutano zaidi na kuongezeka kwa wasiwasi juu ya hatma ya mpango wa nyuklia wa Iran. Kufuatia hatua hiyo, Iran ilianza kuchukua hatua za kuongeza uzalishaji wa urani ulioimarishwa na kukiuka baadhi ya vikwazo vilivyowekwa na JCPOA.
 
Relations between Russia and Israel are deteriorating.
Kosa kuubwa alololifanya Israel kuchangia siraha kimya kimya Ukraine huku wakiieleza Urusi kwenye makaratasi tupo pamoja.Israel inawakati mgumu kushinda hii vita Yake.
 
Hili ni kubwa sana
 
Iran aache ujinga wa kusema iman yao hairuhusu kumiliki silaha za nuk .. Israeli atapelekesha mpaka ila akishaamiliki adabu itsluwepo
 
Back
Top Bottom