wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Acha ujinga wako weweYani Dangote aje kuwasikiliza nyie? [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wako weweYani Dangote aje kuwasikiliza nyie? [emoji16][emoji16]
Hahah, we Jamaa bwanaTurejee kwa billionaire wa ulimwengu Suleiman,wake mia saba na Masuria mia tatu,pisi kali za kiyebusi,kihivi,kiaamori na kikaanan.
Malaya at work 🔨Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000.
Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza kuwa licha ya moyo wake kuvunjwa amejifunza mengi ikiwemo namna bora ya kuendesha biashara yake na pia ameweza kununua ‘properties’ mbili na kuingia katika uwekezaji wa Real Estate.
Bea pia katika mtandao mmoja wa huko Nigeria alieleza kuwa alikutana na Dangote kwenye sehemu ya mauzo ya magari aina ya Mercedes.
View attachment 1665771
Katika akaunti yake ya mtandao wa Instagram Mrembo huyo Bea Lewis ameandika:
"In my 33rd Year:
I dated the richest black man in the world. He broke my heart in 1000 pieces. I learned more from him than any person I’ve ever met. Communicating with a billionaire daily makes you see the world different than your humble beginnings in liberty city.
I became more organized and finally am able to step away from the daily kitchen operations. I learned love without strings. Give your best without expectations.
Nothing is forever. I realized a half a million dollar restaurant project was a bad investment. I purchased two properties. I started a consistent fitness regime. Became vegan.
Obtained a profitable stock portfolio. He changed my perspective on work ethic and patience. Once my mindset changed the universe gravitated me to people that uplifted me and increased my net worth mentally and financially.
To 2021 and powerful encounters."
Wakati taarifa hizo zilizosindikizwa na picha ya wawili hao wakiwa wamekaribiana 0 distance zikiwa hazijapoa, mwanadada mwingine wa huko huko Marekani amejitokeza kumtetea “Bae” wake Dangote akisema kitendo alichofanya Bea si cha kiungwana na kuwa hakuwa “mchepuko” bali alipitiwa tu na mzee na bora angesainishwa NDA (Document ya kuhakikisha usiri).
View attachment 1665765
Mwanadada huyo ili ku- ‘make her point’ aliweka na video fupi ikimuonesha bilionea akiwa kajilaza kwenye kochi. Picha hiyo aliiambatanisha na ujumbe kwa Bea ukisema “Njoo Miami tule raha” akimaanisha yuko na Bilionea ndani ya nyumba.
Vilevile, kuendeleza uchokozi wake, mwanadada huyo anayedai kuwa babe wa Dangote alipost screenshot ikionesha message anazodai zinatoka kwa Dangote zikimkana Bea.
View attachment 1665764
Katika kujadili suala hili, Wanaijeria wameonekana kufurahia kupata jambo la kufungia na kufungulia mwaka huku wengi wakiwa washafanya ung’amuaji na kujua type ya Bilionea Dangote kuwa ni wanawake wembamba wenye matiti makubwa kama wanavyoonekana hapa chini.
View attachment 1665768
View attachment 1665767
Just imagineNa pesa zote akachukua wadada wa Buza ya Marekani.